Damian Wayne
Member
- Mar 17, 2025
- 29
- 31
Mbona Wasira ana 80 ila ndo kwanza wanamteua!!Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametangaza nia yake ya kustaafu kutoka kwenye siasa baada ya kumaliza muhula wake wa sasa, akitaja sababu binafsi ikiwemo umri wake na kutaka kujali afya yake.
Akiwa na umri wa miaka 68, Dkt. Mpango alisema anahitaji "kupumzika" na kutoa nafasi kwa viongozi vijana kuchukua majukumu ya kitaifa. Rais Samia Suluhu Hassan alithibitisha ombi lake hilo wakati wa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwezi Januari 2025, akibainisha kuwa uamuzi huo hauhusiani na utendaji kazi wake bali umetokana na sababu binafsi.
Dkt. Mpango alifafanua zaidi uamuzi wake huo wakati wa hotuba ya hadhara jijini Arusha mwezi Februari 2025, akitafakari juu ya safari yake ndefu ya utumishi wa umma, ambayo inajumuisha nafasi kama mhadhiri wa chuo kikuu, mchumi wa Benki ya Dunia, Waziri wa Fedha, na Makamu wa Rais. Alisisitiza umuhimu wa kuwapa fursa vijana wa Kitanzania, akibainisha kuwa takribani asilimia 77 ya Watanzania wana umri wa chini ya miaka 35.
Dkt. Mpango anatarajiwa kuendelea kuhudumu kama Makamu wa Rais hadi uchaguzi mkuu utakapofanyika mwishoni mwa mwaka 2025.
Kwa ufupi
“We have been nurtured and we have served; now it is the turn of the youth,” Dkt. Mpango
Mkuu, sidhani kama Wasira ameshafikisha A-T years!Mbona Wasira ana 80 ila ndo kwanza wanamteua!!
Samia ana ngapi???
Lukuvi???
Samia 65Mbona Wasira ana 80 ila ndo kwanza wanamteua!!
Samia ana ngapi???
Lukuvi???
Mbona kama umepanic comrade😄😄😄Hana ulazima kusubiri uchaguzi wa October 2025, kwasababu yeye aliteuliwa tu kama wanavyoteuliwa wengine anaweza kujiuzuru au anaweza kufukuzwa au kupumzishwa kama kachoka.
Hakupigiwa kura, yeye ni sehemu ya serikali ya mpito kyelekea uchaguzi mkuu.
Kama anaamini majukumu yake kamaliza aondoke hata leo, kwasababu mamlaka za uteuzi zinaweza kumteua mwingine.
Hata kikwete nae si alikua na shamba la mahindi huko msoga,lilifia wapi?Sijui shamba ya miembe ya Mzee Mwinyi inaendeleaje?
How stupid this guy is, who cares about his agricultural activities, the gen Z, would cares if they hear what he has contributed for creating employments opportunities, has he opened a big factory for proccesing agricultural produce? Using his position has he attracted investors from abroad, has he managed to take young tz abroad for scholarships?Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametangaza nia yake ya kustaafu kutoka kwenye siasa baada ya kumaliza muhula wake wa sasa, akitaja sababu binafsi ikiwemo umri wake na kutaka kujali afya yake.
Akiwa na umri wa miaka 68, Dkt. Mpango alisema anahitaji "kupumzika" na kutoa nafasi kwa viongozi vijana kuchukua majukumu ya kitaifa. Rais Samia Suluhu Hassan alithibitisha ombi lake hilo wakati wa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwezi Januari 2025, akibainisha kuwa uamuzi huo hauhusiani na utendaji kazi wake bali umetokana na sababu binafsi.
Dkt. Mpango alifafanua zaidi uamuzi wake huo wakati wa hotuba ya hadhara jijini Arusha mwezi Februari 2025, akitafakari juu ya safari yake ndefu ya utumishi wa umma, ambayo inajumuisha nafasi kama mhadhiri wa chuo kikuu, mchumi wa Benki ya Dunia, Waziri wa Fedha, na Makamu wa Rais. Alisisitiza umuhimu wa kuwapa fursa vijana wa Kitanzania, akibainisha kuwa takribani asilimia 77 ya Watanzania wana umri wa chini ya miaka 35.
Dkt. Mpango anatarajiwa kuendelea kuhudumu kama Makamu wa Rais hadi uchaguzi mkuu utakapofanyika mwishoni mwa mwaka 2025.
Kwa ufupi
“We have been nurtured and we have served; now it is the turn of the youth,” Dkt. Mpango
Makamu wa rais akistaafu mafao yake kama ya rais. Halafu anakula 80% ya mshahara na walinzi na washika mikoba wote wanalipwa hadi afe. Ubunge wa nini sasa?Looh so na Ubunge hana time nao tena? Au sheria ukiwa Makamu huwezi kuwa mbunge tena, tueleweshane jamani.
Maana kuna watu wana more than 20 yeez katika ubunge na hawana mpango kutoka.
Sijapanic nimeeleza ukweli, Samia ni rais wa mpito hakuchaguliwa na wananchi ni rais kwa mujibu wa katiba siyo kama watu wanavyomkuza, vivyo hivyo wateule wake akiwemo Mpango hawakuchaguliwa wapo kikatiba anaweza kuondoka Muda wowote kama wateuliwa wengine, halazimiki kusubiri miaka mitano iishe.Mbona kama umepanic comrade😄😄😄
Ata mkuchika katangaza kustaafu
Vulilia comrade bado miezi michache anamalizia muhula