Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,927
Dr Mpango sio makamu wa rais.
Tanzania haina makamu kwa sasa coz alishajiuzuru.
Tanzania haina makamu kwa sasa coz alishajiuzuru.
Akiwa na umri wa miaka 68
Tunaongelea wakati uliopo siyo ujao.Ni mgombea. Akipata hii hoja inakuwa haina mashiko tena.
Huyu jamaa anajitambua sana.Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametangaza nia yake ya kustaafu kutoka kwenye siasa baada ya kumaliza muhula wake wa sasa, akitaja sababu binafsi ikiwemo umri wake na kutaka kujali afya yake.
Akiwa na umri wa miaka 68, Dkt. Mpango alisema anahitaji "kupumzika" na kutoa nafasi kwa viongozi vijana kuchukua majukumu ya kitaifa. Rais Samia Suluhu Hassan alithibitisha ombi lake hilo wakati wa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwezi Januari 2025, akibainisha kuwa uamuzi huo hauhusiani na utendaji kazi wake bali umetokana na sababu binafsi.
Dkt. Mpango alifafanua zaidi uamuzi wake huo wakati wa hotuba ya hadhara jijini Arusha mwezi Februari 2025, akitafakari juu ya safari yake ndefu ya utumishi wa umma, ambayo inajumuisha nafasi kama mhadhiri wa chuo kikuu, mchumi wa Benki ya Dunia, Waziri wa Fedha, na Makamu wa Rais. Alisisitiza umuhimu wa kuwapa fursa vijana wa Kitanzania, akibainisha kuwa takribani asilimia 77 ya Watanzania wana umri wa chini ya miaka 35.
Dkt. Mpango anatarajiwa kuendelea kuhudumu kama Makamu wa Rais hadi uchaguzi mkuu utakapofanyika mwishoni mwa mwaka 2025.
Kwa ufupi
“We have been nurtured and we have served; now it is the turn of the youth,” Dkt. Mpango
Mzee mstaarabu sana huyu na akili kuliko CCM wote, angekuwa raisi uchumi ungekuwa mzuri na tungekuwa na tume huru ya uchaguzi, no utekaji uuaji au policeccm, kaamua kuondoka kaona anaofanya nao kazi ni wajinga wahuni kiwango cha SGRHow stupid this guy is, who cares about his agricultural activities, the gen Z, would cares if they hear what he has contributed for creating employments opportunities, has he opened a big factory for proccesing agricultural produce? Using his position has he attracted investors from abroad, has he managed to take young tz abroad for scholarships?
How simple mind this guy is! And they say is the PHD holder! So pathetic,
I once heard him, saying he was astonished that people and other road users have to wait for hours for him to pass! And he was in the office for more than 4yrs! Stupid to the core
Kuna vyeo ukishafika huwez rudi huko. Tena tushukuru hiyo loophole haipo, kuna watu wangerudiLooh so na Ubunge hana time nao tena? Au sheria ukiwa Makamu huwezi kuwa mbunge tena, tueleweshane jamani.
Maana kuna watu wana more than 20 yeez katika ubunge na hawana mpango kutoka.
Just remind me what exactly has he done in the country?Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametangaza nia yake ya kustaafu kutoka kwenye siasa baada ya kumaliza muhula wake wa sasa, akitaja sababu binafsi ikiwemo umri wake na kutaka kujali afya yake.
Akiwa na umri wa miaka 68, Dkt. Mpango alisema anahitaji "kupumzika" na kutoa nafasi kwa viongozi vijana kuchukua majukumu ya kitaifa. Rais Samia Suluhu Hassan alithibitisha ombi lake hilo wakati wa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwezi Januari 2025, akibainisha kuwa uamuzi huo hauhusiani na utendaji kazi wake bali umetokana na sababu binafsi.
Dkt. Mpango alifafanua zaidi uamuzi wake huo wakati wa hotuba ya hadhara jijini Arusha mwezi Februari 2025, akitafakari juu ya safari yake ndefu ya utumishi wa umma, ambayo inajumuisha nafasi kama mhadhiri wa chuo kikuu, mchumi wa Benki ya Dunia, Waziri wa Fedha, na Makamu wa Rais. Alisisitiza umuhimu wa kuwapa fursa vijana wa Kitanzania, akibainisha kuwa takribani asilimia 77 ya Watanzania wana umri wa chini ya miaka 35.
Dkt. Mpango anatarajiwa kuendelea kuhudumu kama Makamu wa Rais hadi uchaguzi mkuu utakapofanyika mwishoni mwa mwaka 2025.
Kwa ufupi
“We have been nurtured and we have served; now it is the turn of the youth,” Dkt. Mpango
Not going anywhere, he is your next CEO.Dr. Philip Isidori Nzabhayanga Mpango makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeonesha uzalendo kwa kuamua kustaafu kwa hiyari.
Show me a single thing samia has done for the nation, apart from abductions, I'll show you a thousand things Mpango has done.Just remind me what exactly has he done in the country?
Not going anywhere, he is your next CEO.