Dkt. Mpango kustaafu Siasa, atangaza kupumzika na kukuza Kilimo cha Urithi wa Baba yake

Dr Mpango sio makamu wa rais.

Tanzania haina makamu kwa sasa coz alishajiuzuru.
 
Alishasema anastaafu sababu angependa KUISHI zaidi.
 
Anaenda kula maisha! Kilimo kwake kitakuwa hobby!
Atapewa nyumba (huku tayari anazo), magari mapya kila mwaka, ulinzi wa kutosha, watoto na yeye kuumwa itakuwa India, SA, ulaya, marekani!
Yote haya tutaghamia site wabongo!
Siyo mwenzetu walahi!
 
Huyu jamaa anajitambua sana.
 
Mzee mstaarabu sana huyu na akili kuliko CCM wote, angekuwa raisi uchumi ungekuwa mzuri na tungekuwa na tume huru ya uchaguzi, no utekaji uuaji au policeccm, kaamua kuondoka kaona anaofanya nao kazi ni wajinga wahuni kiwango cha SGR
 
Looh so na Ubunge hana time nao tena? Au sheria ukiwa Makamu huwezi kuwa mbunge tena, tueleweshane jamani.
Maana kuna watu wana more than 20 yeez katika ubunge na hawana mpango kutoka.
Kuna vyeo ukishafika huwez rudi huko. Tena tushukuru hiyo loophole haipo, kuna watu wangerudi
 
Just remind me what exactly has he done in the country?
 
Dr. Philip Isidori Nzabhayanga Mpango makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeonesha uzalendo kwa kuamua kustaafu kwa hiyari.
Not going anywhere, he is your next CEO.
 
Just remind me what exactly has he done in the country?
Show me a single thing samia has done for the nation, apart from abductions, I'll show you a thousand things Mpango has done.
 
Not going anywhere, he is your next CEO.

Ina maana mheshimiwa Dr. Philip Isidori Nzabhayanga Mpango, anapangiwa kazi nyingine na mamlaka ? Je ni kimataifa au hapahapa nchini Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…