Dkt. Mpango ndio aina ya wazee tunawataka kwenye Taifa. Hana makuu, hana tamaa ya madaraka

Ni kama vile, tunataka viongozi wasafi, wasio na tuhuma, wasio na rushwa.

Halafu, ile ngazi ya kupanda juu kuwa kiongozi hairuhusu watu wenye sifa hizo kupanda juu, wale viongozi waungwana, wasafi, wasiopenda rushwa, ndio wanashindwa kuvuruga chaguzi, wanakosa hata ubunge, hawajui kujipendekeza kupata teuzi. Wanashindwa game la uongozi wetu

Tunabaki na mabazazi wanaopenda rushwa, kujipendekeza, siasa za majitaka, ndio wanapanda ngazi na kuongoza.
 
Kiranga anayesema haamini kwenye imani ya uwepo wa Mungu na Shetani, ndio Kiranga huyo huyo anayekuja kutuaminisha hapa kuwa Magufuli alikuwa anakumbana na nguvu za mashetani pale Ikulu ta magogoni!!

Mungu yupo jamani.
Nilijua hii hoja itakuja. Nikaivunja tangu awali kwenye post yangu.

Tatizo nimeivunja kwa kimombo na wewe kimombo hujui.

Niliandika hivi.

"This is not to say that I believe in witchcraft, this is to say there is such a thing as belief in witchcraft which has real effects."

Tatizo kimombo hujui.
 
Tehetehe, alikuwa ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, hakuna picha hata moja amepanda mti

Kazi ya Makamu wa Rais ni kupanda miti? Mbona tunajiaibisha sana kwa fikra za kipumbavu kama hizi? Kazi yetu ni kufikiria kuiba hela za umma tu na kuona huo ndio ujanja
 

yaani ningeweza kuwapiga kipapai hawa majambazi....
 
Mcha Mungu gani au mtu mwenye ubinadamu anayeweza kukaa kimya watu wakiuwawa, kuteswa, kupotezwa?

Ni mzalendo gani anayeweza kukaa kimya rasimali zikiibwa?

Si ndio maana kaamua kuacha madaraka! Ni busara kubwa sana hii ya Mzee Mpango.
 
Waganga wa makonda na walokole hawakusaidia kuondoa mauzauza,wajuao wakamwambia pa kwenda, akaenda kinondoni makao makuu ya taasisi moja ya kidini,mambo yakatulia,mhusika alilazwa muhimbili na magu alienda kumtembelea kumjulia hali
 
Right hand man,kazi chafu
 
Sahihi
 
Si ndio maana kaamua kuacha madaraka! Ni busara kubwa sana hii ya Mzee Mpango.
Watanzania wengi wana kasumba ya false dichotomy fallacy.

Yani kwao, it is all or nothing at all.

Yani haiwezekani mtu awe nzuri anayepambana na mfumo mbaya kutoka ndani ya mfumo, na hata akiona mfumo ni mbaya akijiuzulu ili asiendelee kuwa sehemu ya mfumo mbaya, atalaumiwa tu.

Hivi hawa watu wanajua kuwa serikali ya Tanzania ukiwa mtu high profile halafu unasema ovyo inaweza hata kukuua?

Waingereza wana msemo "You can't judge a man until you walk in his shoes".

Wangapi washapata nafasi kama ya Dr. Mpango na ku deal na realpolitik za hiyo position?

Wengi wetu wangepata hiyo nafasi pengine hata kujiuzulu wasingeweza.
 
Waganga wa makonda na walokole hawakusaidia kuondoa mauzauza,wajuao wakamwambia pa kwenda, akaenda kinondoni makao makuu ya taasisi moja ya kidini,mambo yakatulia,mhusika alilazwa muhimbili na magu alienda kumtembelea kumjulia hali
Hapa kila mtu atasema lake. Wabongo wape picha tu, hata ya katuni.

Story nzima watajazia wenyewe.
 
Muogope Mungu
 
Huu uwongo ndio ameondoka walio twngeneza fitina kaz ipo....
 

Ukiwa na wazee kama huyu na upole upole wake nchi itatawaliwa na wezi huo ndiyo ukweli. Sikubaliani na wewe sio kwa nchi hii
 
Labda humjui. Yule ni mwizi balaa kumzidi hata jpm aliyeficha pesa china kw aushirikiano na Biswalo
Mlicho mzushia kaondoka sasa mtamalizana wenyewe mada inajieleza.... mlidhani atajitetea yeye ameondoka.
 
Dodoma pia Anakaa Kule Zuzu

Maaurufu kama kwa Mzee Pinda


Anapenda kuishi mazingira ya kawaida sana
Watu wa aina ile wasiojikweza kweza na wasiotaka makuu hao ni watu wa Mungu !
Nikisema watu watu wa Mungu nina maana kwamba ni wale THE CHOSEN ONES 🙏🙏 !
Na tabia hizo huwa sio zile za kudanganyia watu bali huwa ni tabia zao Asili kabisa !
 
Huwezi kukimbia majukumu Kwa Kisingizio Cha kung'atuka.

Na kama amefanya hivyo Ili kumkomoa mtu basi ambacho Anagombea hakitakuwa.

Mwisho wewe Jamaa kila.mara unasogeza tarehe za matukio Yako mabaya unayopenda yawatokee Viongozi ukijifanya kuwa Mungu ni Jamaa Yako Huwa mnajadiliana.

Habari za kitambaa cheupe 2025 kuja na mgombea tofauti na aliyepo zimeishia wapi?

Saizi unasogeza tukio ukidai kwamba yaliyompata Mwendazake ambayo wewe unaamini sio natural eti ndio yatatokea tena na kwamba Mpango amekataa kuwa sehemu ya hayo.

Sasa Kwa taarifa Yako kama nilivyowahi wahakikishia na wengine wakati Wanaleta ramli ni kwamba SSH is here to stay so long as Mungu ndio anapanga nani awe na nani asiwe basi hakuna lolote litamtokea na atakabidhi kijiti salama salmoni hiyo 2030.

Umchukie ,umpende havitabadili huo ukweli na ndio maana licha ya rundo la wanaomchukia Bado yule paleee na Nchi inaenda Kwa mafanikio makubwa kuliko wakati wowote.

Hiyo imetoka, mengine yataendelea kuwa wishful thinking.Tunamtakia Kila la heri bwana Mpango maana amefanya uamzi sahihi Kwa sababu zimewahi sikika tetesi kabla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…