ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ndio huyo huyo alisimamia kuongeza tozo 2021/2022 harafu akaja kulaumiwa Samia na Mwigulu.Uongo.
Huyu alikuwa waziri wa fedha aliyefilisi wafanyabiashara enzi ya jiwe, bora aondoke
Bwege unaongea kama bwegeKima mkubwa wewe, je kama walimaanisha ni wewe?
Ni mchakato tuYaani Dr. Mpango amekuwa mrundi baada tu ya kuwa makamu wa rais?
Huyo dingi amekuwa kwenye system nyeti za serikali tangu kipindi cha Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa Samia na kipindi chote hatukujua ni mrundi? Nani sasa ni mtanzania?
Okay, leo ndio tumegundua ni mrundi kwanini sasa mpaka November ataendelea kuwa makamu wa rais, na baada ya hapo ataendelea kupewa stahiki zote za makamu wa rais yeye na mkewe mpaka kaburini?
Nani kakuambia Dr. Mpango kaachia madaraka?Si ndio maana kaamua kuacha madaraka! Ni busara kubwa sana hii ya Mzee Mpango.
Ni Kwa masikitiko makubwa alipopewa kuwa VP Burundi walifanya sherehe na ilirupotiwa na vyombo vya habari hususani BBC./DWYaani Dr. Mpango amekuwa mrundi baada tu ya kuwa makamu wa rais?
Huyo dingi amekuwa kwenye system nyeti za serikali tangu kipindi cha Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa Samia na kipindi chote hatukujua ni mrundi? Nani sasa ni mtanzania?
Okay, leo ndio tumegundua ni mrundi kwanini sasa mpaka November ataendelea kuwa makamu wa rais, na baada ya hapo ataendelea kupewa stahiki zote za makamu wa rais yeye na mkewe mpaka kaburini?
Kumbe hujui hilo?Kazi ya Makamu wa Rais ni kupanda miti? Mbona tunajiaibisha sana kwa fikra za kipumbavu kama hizi? Kazi yetu ni kufikiria kuiba hela za umma tu na kuona huo ndio ujanja
Hata Obama alipochaguliwa kuwa rais wa USA karibu Kenya nzima ilifanya sherehe.Ni Kwa masikitiko makubwa alipopewa kuwa VP Burundi walifanya sherehe na ilirupotiwa na vyombo vya habari hususani BBC./DW
Bahati mbaya sana Ile habari sikuihifadhi na baadae nilijaribu sana kutafuta imefutwa kwenye media so siwezi weka ushahidi ila that is how it was and reported.
Wee hujui ki asili warundi ni watoto wa waha? Waha ndio baba zaoNi Kwa masikitiko makubwa alipopewa kuwa VP Burundi walifanya sherehe na ilirupotiwa na vyombo vya habari hususani BBC./DW
Bahati mbaya sana Ile habari sikuihifadhi na baadae nilijaribu sana kutafuta imefutwa kwenye media so siwezi weka ushahidi ila that is how it was and reported.
Kwao Iko wazi huko kwetu unadhani Kwa nini inafutwa futwa? Wale waliweka taarifa zao wazi za asili na inajulikana hivyo,huku kwetu mnaficha ficha Kwa sababu ni wahamiaji haramu.Hata Obama alipochaguliwa kuwa rais wa USA karibu Kenya nzima ilifanya sherehe.
Samia alipoapishwa kuwa rais wa Tanzania, Oman ililipuka kwa shangwe.
Hiyo imekaaje?
Kama ndivyo Kwa nini wafiche asili zao kama walihamia Tanzania au walikuja kama wakimbizi?Wee hujui ki asili warundi ni watoto wa waha? Waha ndio baba zao
Ilikuwaga nchi moja ile kabla haijakatwa na waingereza after ww1Kama ndivyo Kwa nini wafiche asili zao kama walihamia Tanzania au walikuja kama wakimbizi?
Hao ni watu haramu
Swala ni Kwa nini taarifa zifichwe fichwe kwamba mtu huyu alizaliwa Burundi na kuvuka boda au alizaliwa na Tanzania na wazee Warundi waliobuka boda nk.Ilikuwaga nchi moja ile kabla haijakatwa na waingereza after ww1
Hakuna cha uadilifu hapo wote sawa tu. Unasema kastaafu wakati anajengewa nyumba mshahara yeye na mkewe kila baada ya miaka sijii 3 sijui 5 gari zake 3 mpya na unaweza shangaa anateuliwa mkurugenzi wa shirika moja...Tunaongea uhalisia mkuu ameitemdea kazi nafasi alizo pewa
Dr. Mpango amezaliwa kabla ya Uhuru, tena Tanganyika. Tunahoji nini tena hapo kuhusu uraia wake?Swala ni Kwa nini taarifa zifichwe fichwe kwamba mtu huyu alizaliwa Burundi na kuvuka boda au alizaliwa na Tanzania na wazee Warundi waliobuka boda nk.
Unapoficha asili manake wewe ni mtu harafu.
Kufanya kosa siyo kosa bali kurudia kosa.Yaani Dr. Mpango amekuwa mrundi baada tu ya kuwa makamu wa rais?
Huyo dingi amekuwa kwenye system nyeti za serikali tangu kipindi cha Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa Samia na kipindi chote hatukujua ni mrundi? Nani sasa ni mtanzania?
Okay, leo ndio tumegundua ni mrundi kwanini sasa mpaka November ataendelea kuwa makamu wa rais, na baada ya hapo ataendelea kupewa stahiki zote za makamu wa rais yeye na mkewe mpaka kaburini?
SIJUI NI KWANINI HUWA NAKUAMINI SANA,SIJUI NI KWANINI.MOJA YA WATU WENYE AKILIZA AJABU NA PEKEE SANA.MUNGU AKUPE UHAI MREFU.UWE NA UHAI MREFU.Jamaa alivyokuwa Waziri wa Fedha alimuwekea mustendi Makonda alipe kodi za vifaa vya shule, kodi ambayo Makonda alitaka kutuzungusha asilipe.
Wakati huo Makonda mtoto mpendwa wa Magufuli kila mtu alikuwa anamuogopa, ila Dr. Mpango akamuondolea uvivu.
Hiyo covid alimpima?Leo kakuachieni akiwa na nguvu zake kamili, utasemaje huu ujinga uloandika hapa?
Hapa ndio huwa nakukubali, Kama ana integrity unampa heshima yake.Jamaa alivyokuwa Waziri wa Fedha alimuwekea mustendi Makonda alipe kodi za vifaa vya shule, kodi ambayo Makonda alitaka kutuzungusha asilipe.
Wakati huo Makonda mtoto mpendwa wa Magufuli kila mtu alikuwa anamuogopa, ila Dr. Mpango akamuondolea uvivu.
Kumbe hujui hilo?
Fahamu tu, Kwa katiba ya Tanzania, makamu wa rais ndio anapaswa kuwa mpandaji miti mkuu.