Dkt. Mpango ni kweli ulishiriki kumtuma Sabaya kufanya mambo machafu?

Huko huko kujua ndiko kutawafanya waeleze wanachokijua ili kumnusuru mtumishi wao.
Na yeye aliwataja akimanisha jambo. Kuwa walikuwa wanajua. Kwa lugha nyingine walishirikia kumtuma.
 
Ili kulinda heshima yake tunayompa sisi tunaompenda
Mnapenda majizi na wahalifu?Hukusikia kuwa bwana Chato alipofariki yeye Mpango pamoja na majizi wenzake walipiga hela ndefu pale BOT na ndiyo maana hata ile ripoti ya CAG ya ukaguzi wa BOT ilichelewa kutoka?
 
Hizi zilikuwa tetesi tu. Hatuwezi kumhukumu kwa hilo.
 
Wwe una chuki na Wivu kwa Sabaya!!una hoja ya Msingi zaidi ya kulalamika tu!!
Hajabinywa pumbu anaanza kutaja taja watu kama mlevi. Anadhani mahakama itasikiliza huo upuuzi wake?
 
Ukaribu wa Dkt Mpango na Mwendazake na sasa Umakamu wa Raisi unaonyesha Tanzania sasa iko mikononi mwa Wahutu

Ndio maana tulikuwa tukisema huu Uinterahamwe na ukatili sio tabia za Kitanzania.
 
Naanza kukubaliana na kigogo 2014 aliyedai mpango ni mrundi siyo mtanzania, akambandika jina la "ntibazonkiza" huenda hiyo yapo mengi machafu aliyoshiriki kuyafanya chini ya mwendazake kichaa
 
Nchi haiendeshwi hiyo Dogo huo siyo utaratibu ni ukiukwaji wa taratibu usio na utetezi, yeye na waliomtuma Wana hatia
 
Inaangukaje mkuu. Lakini hili la Sabaya lisichukuliwe poa. Unamtaja Dr Mpango kwenye mauchafu yako? ili iweje? kwamba kesi ndio itakuwa imeisha au?
uwezo wake wa kufiiri ndiyo umeishia hapo, pia haya ni matunda ya kutokemewa, kila alilokuwa akifanya hakukemewa
 
Mpango ajiuzulu haraka sana , ukiona kiongozi anajifanya Mcha Mungu huku kazungukwa na matunguli muogope sana
Kama ni hivyo na Mama nae ang'atuke...
Lazima nae aliifahamu mipango hii ladhimu.
Kifupi ni kwamba 7ya kamwaga unga..

Ngoja tuone..
 
Mh.Makamu wa Rais,Sabaya kanena,ikiwa wewe ni kiongozi muadilifu basi hakuna jingine ila ni kujiuzulu tu,kulinda heshima yako.
 
Itos
Safari ni hatua na safari 1 huanzisha nyingine si miye bali wahenga hao na maneno yao ya sirini.
 
Kifupi tu,utetezi wa Aliyekuwa DC Bwana Sabaya kumhusisha Mh.Makamu wa Rais bila woga wala kificho,moja kwa moja kumeshamuharibia sifa kiongozi huyu wa juu kabisa nchini.ILI KULINDA HESHIMA YAKE MBELE YA WATANZANIA NA ULIMWENGU NI BORA AKAJIUZULU.
 
Mpango ajiuzulu haraka sana , ukiona kiongozi anajifanya Mcha Mungu huku kazungukwa na matunguli muogope sana

Watoa hukumu watakuja na hukumu sahihi. Tukisema Mpango ajiuzulu sijui nani ajiuzulu kwa kumsikiliza Ole tunajivuruga tuu

Maana Rais na Makamu wake wote ni walikua madarakani

Labda mje na yale maneno ya kwamba wanamhujumu mama kitu ambacho sio kweli

Msijisahaulishe kwamba Chumalady SSH alinolewa na Chuma JPM

Kifupi tu,utetezi wa Aliyekuwa DC Bwana Sabaya kumhusisha Mh.Makamu wa Rais bila woga wala kificho,moja kwa moja kumeshamuharibia sifa kiongozi huyu wa juu kabisa nchini.ILI KULINDA HESHIMA YAKE MBELE YA WATANZANIA NA ULIMWENGU NI BORA AKAJIUZULU.
Kwa hiyo "....." wa wakati huo alikuwa "sidelined" kwenye suala hili! ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…