Dkt. Mpango: Rais Samia anakerwa na mauaji yanayotokea nchini. Ameagiza Jeshi la Polisi kufanya msako kubaini wanaojiuhusisha na vitendo vya mauaji

Dkt. Mpango: Rais Samia anakerwa na mauaji yanayotokea nchini. Ameagiza Jeshi la Polisi kufanya msako kubaini wanaojiuhusisha na vitendo vya mauaji

Si wewe humu kila siku mpaka leo unashangilia wewe na wenzio mnasema mnapumua hamuawi wala kutekwa tena?
We LAFA kweli lile dikteta nalifananishwi na yeyote labda mako.nda na sa7ya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe siku zote huwa nakuambia una stress zinazotokana na umasikini..
Dogo wewe shinda hapo kibarazani lumumba ukivizia buku7 hizo..
 
Yule Bwana alikuwa na 'Damu ya kunguni' hata akikohoa alikuwa analaumiwa

Kuna siku alisema hata ngecheza kwny Matope angelaumiwa kwa kutimua Vumbi
Hoo Magufuli anaua watu sana!

Katika haya matukio simsikii Bagonza wala wanaharakayi wenzie wakisemea.
 
Makamu wa Rais Dr Mpango amesema Amiri jeshi mkuu amechoka na yeye amechoka kuongoza taifa ambalo kila siku yanaripotiwa matukio ya mauwaji sehemu mbalimbali bila ya watuhumiwa kukamatwa.

Dr Mpango amelitaka jeshi la polisi kuwatafuta wauwaji wote na ripoti ipelekwe moja kwa moja kwa Amiri jeshi mkuu na Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan.

Source: ITV habari

Mungu wa mbinguni mbariki Dr Mpango.
 
Watu uchumi umeyumba sasa wanataka figo zetu
 
Makamu wa Rais Dr Mpango amesema Amiri jeshi mkuu amechoka na yeye amechoka kuongoza taifa ambalo kila siku yanaripotiwa matukio ya mauwaji sehemu mbalimbali bila ya watuhumiwa kukamatwa...
Khee...huyu Mzee Kikohozi naye ni lihangaya kweli kweli....amechoka kwani analazimishwa kuendelea kuongoza?
 
Mwambie VP wako aacje kulia lia! Badala yake amshauri Bosi wake kulifumua Jeshi lote la Polisi haraka na kuunda Jeshi Jipya, kabla mambo hayaja haribika kabisa! Majambazi na wauaji wote wenye sare waondolewe kwenye nyazfa zao walizo zipata kwa njia ya mkato!

Na asisahau pia kumstaafisha IGP wa sasa! Maana anafanya kazi kwa mazoea. Atafutwe mwadilifu mmoja wa ukweli kama yupo, apewe hiyo nafasi.
 
Makamu wa Rais Dr Mpango amesema Amiri jeshi mkuu amechoka na yeye amechoka kuongoza taifa ambalo kila siku yanaripotiwa matukio ya mauwaji sehemu mbalimbali bila ya watuhumiwa kukamatwa...
Hana jipya lolote, yeye mwenyewe yuko madarakani kwa chama chake kufanya mauaji, na ukatili mwingi wa wazi. Anashangaa mauji wakati wao ni waasisi wa tabia hiyo? Aache utapeli wa kijinga.
 
Hana jipya lolote, yeye mwenyewe yuko madarakani kwa chama chake kufanya mauaji, na ukatili mwingi wa wazi. Anashangaa mauji wakati wao ni waasisi wa tabia hiyo? Aache utapeli wa kijinga.
Una ushahidi?
 
Tunasubiri report kamili
Ripoti ya kuungua kwa Kariakoo mpaka sasa iko kabatini.

Kuungua kwa soko la karume mateja are responsible.

Mauaji nchi nzima , mkuu hiyo hutaipata.

Tufunge na kusali sana.
 
Mnoo... huwezi amini tangu March mwaka jana hadi hivi ninavyoongea nna vi dili vyangu huko bongo nimeingiza 240M... kwa yule kichaa isingewezekana.

To be honest tunapumua hasa wa ile kanda tengwa.
Hangaya akiambiwa majizi yamerudi anasema eti siyo kweli.
Wapiga vi dili Sasa wanajisema hadharani humu jf.
 
Back
Top Bottom