Dkt. Mpango: Vijana achaneni na kupenda mashangazi

Tuache wee BhaBha, ushajipata, sie tunapenda age go vise versa is true, Salaam nyingi kwa Wajombaa(maanko) na Mashangazi
 
Huyo dr ana ubongo kichwani kweli.!????

Ni kweli vijana tuache lakini pia na hao mashangazi waache kutusumbua sisi vijana...

BICHWA KOMWE - hii inakuhusu
Tena huyo BABU KIZEE atukome kabisa mashangazi, kwani nani amemtuma? Kiherehere chake tu.

Sisi mashangazi tunapinga vikali kauli ya huyo BABU KIZEE MPANGO, TUNASEMAJEEEEE, atuache na vibenteni wetuu.

Hivi anaujua utamu wa vibenteni kweli huyu au anabwata tu? Baadaye nitatoa TAMKO RASMI.

Cc: FaizaFoxy Mbaga Jr Kapeace Kalpana Extrovert dronedrake fundi bishoo Lamomy Nyani Ngabu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Bichwa naomba nikuulize kitu tafadhari
 
Kama tumeshakubaliana ni tatizo, tumeshatuma team kuresearch shida ni nini na hasara zake ni nini, na nini kifanyike ili tutoke huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…