Dkt. Mpango: Vijana achaneni na kupenda mashangazi

Hana kazi wala majukumu huyo!
Mshahara anapata wa bure na ndio maana hajuwi wala kuelewa cha kuongea!
 
Hii speech ilibidi iwe ya Kiswahili. Kaongea mambo mengi mazuri yanayosababishwa na ujingaujinga wa CCM
 
Wakuu mmesikia huko alichokisema Dkt. Mpango kuhusu Mashangazi?

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philiph Mpango, amesema zinahitajika tafiti za kina pamoja
Yeye amejuaje???
Mishangazi ndo huwa inampelekea malalamiko?
 
Huyo dr ana ubongo kichwani kweli.!????

Ni kweli vijana tuache lakini pia na hao mashangazi waache kutusumbua sisi vijana...

BICHWA KOMWE - hii inakuhusu
Kutumia muda mwingi bila kufanya kazi kwa kushinda Vijiweni, uchezaji kamari, utupaji taka ovyo, uchomaji moto ovyo wa nyasi na misitu pamoja na ubinafsi.
 
Hadi Dr Mpango anajua mashangazi...khaas basi sawaa...watoto siku hizi hawataki kunukka mavi kju bandaniii ila tu wawepo Sports Bar daily....suruali kulegezaa na betting
 
Kwenye hili Mh. vijana hata mashangazi baadhi hawatakuelewa kamwe 😁
 
Unapotaka kuzuia tatizo usikomalie upande mmoja, bana au komalia pande zote ili tatizo liishe
 
Isije kuwa anatoa onto kwa kijana fulani, kwa mtindo wa hotuba.
 
Kuna vijana watakuwa wamezana kwa Shangai wallah jamani mkome!
 
Kwamba mna-mapenzi na Wazee 😅

Niko nasubiri bahati yangu kwako, kama utanipenda na umri wangu wa miaka 78 nilionao 😜
Hakuna shidaa, kama unaona unaweza kupendwa ni vyema, si unajua vigezo lakni🤪
 
Wakuu mmesikia huko alichokisema Dkt. Mpango kuhusu Mashangazi?
Mkuu ameshindwa kutambua kua Mashangazi nimatokeo ya wazee kupungua ufanisi wako busy na kazi yakuliibia Taifa wanasagau kama wana wake nyumbani na wanaweka nguvu kwa vibinti vidogo sasa kuepuka ushindani usio wa lazina hawa vijana ambao ajira hamuwapi na mademu zao pia mnawataka kwanini wasijipumzishe kwa mishangazi kuziba hiyo nakisi mnayoyasababisha mana nao ni watu wanahitaji furaha🤣🤣🤣kama mnavyopata kwa watoto wa 2000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…