Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Mashangazi VS Ajira vina uhusiano gani?Minadhan serikali itoe ajira kwa vijana kwa wakat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashangazi VS Ajira vina uhusiano gani?Minadhan serikali itoe ajira kwa vijana kwa wakat
Serikali inajadili mambo ya faragha kweli? Badala namna bora ya kuinua uchumi wa mtu mmoja mmoja.Katika mambo yote ya msingi aliyoongea hili la Mishangazi ndio limeonekana kipaumbele tu kwenye media,tanzania tunafuatilia mambo ya hovyo kuliko ya maana, tuna safari ndefu sana.ni habari za kujadili upuuzi na mpira tu
Serikali haitaki mashangazi wachimbwe migodi, mashangazi hoyeee!Minadhan serikali itoe ajira kwa vijana kwa wakat
Ningefurahi pia kama ungetoa maon yako (mrejesho) kuhusu maoni/michango inayo endelea hapa kuijadili hotuba hiyo nzuri.Jamaa ametoa hotuba nzuri Sana .
Ningefurahi pia kama ungetoa maon yako (mrejesho) kuhusu maoni/michango inayo endelea hapa kuijadili hotuba hiyo nzuri.
Nadhani kuna juhudi zinazofanywa kwa maksudi! kuiua JF; hasa kwenye Jukwaa hili la Siasa
34Kijana mwisho miaka mingapi. Maana UVCCM wameongeza mpaka miaka 40 bado ni kijana, ati ni kiongozi wa kesho.
Heshima yako.Aisee -mkuu sifikirii Kama umeangalia mwenendo wa siasa zetu vizuri.
Mimi nimeona kwa sasa I have nothing to offer in politics ground .
Hivyo nimeamua kuwekeza katika mambo ambayo yatasaidia MTU kumjenga hasa kiakili n.k
Kweli mkuu umeongea fact barikiwa Sana .Heshima yako.
Lakini, angalia kwa mfano mstari wako huo wa mwisho: "...kumjenga hasa kiakili, n.k.."
Utaweza vipi kuifanya kazi hiyo mtu binafsi, au hata kundi, nje ya SIASA?
Mkuu, 'DR HAYA LAND", hayo aliyo ongelea Makamu wa Rais, ndiyo hasa moyo wa taifa/nchi yoyote ile duniani yenye sifa za kuwa nchi; na hayo maswala yote aliyo orodhesha Makamu wa Rais, ndiyo hasa kazi muhimu ya serikali yoyote yenye kujuwa maana ya uongozi ni nini hasa.
Haya tunayo yashuhudia sasa hivi kwenye nchi yetu, ndiyo yanayo tudidimiza kabisa; na kama hatutastuka mapema matatizo haya yatakuwa ndiyo ya kudumu na kuwa sehemu ya tamaduni zetu.
Unapoona nchi kama Haiti, usifikiri hao binaadam wameumbwa ili wawe tofauti na binaadam wengine. Tabia hizo ni matokeo tu ya uongozi usio kuwa na Dira yoyote juu ya hatma ya taifa husika.
Hicho ni kigezo muhimu cha kujuwa upeo wa wananchi wa taifa husika ulivyo.Katika mambo yote ya msingi aliyoongea hili la Mishangazi ndio limeonekana kipaumbele tu kwenye media,tanzania tunafuatilia mambo ya hovyo kuliko ya maana, tuna safari ndefu sana.ni habari za kujadili upuuzi na mpira tu
Uchawa ndio tatizo. So aanzie huko huko ccm na sirikaliniWakuu mmesikia huko alichokisema Dkt. Mpango kuhusu Mashangazi?
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philiph Mpango, amesema zinahitajika tafiti za kina pamoja na mikakati katika kufanya mapinduzi ya kitamaduni kubadili tabia na mazoea yasiyofaa yanayojitokeza katika Jamii hivi sasa ambayo ni kikwazo kwa maendeleo.
Dkt Mpango amesema hayo wakati akifungua mkutano wa kusherehekea miaka 30 ya Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF) uliyofanyika Jijini Dar es salaam ambapo ametaja baadhi ya mazoea na tabia hizo ni pamoja na kutojali muda, kutokuwa na uaminifu mahali pa kazi pamoja na kutumia njia zisizofaa katika kupata kipato.
Makamu wa Rais ameitaka ESRF pamoja na Watalaam wa Fikra Tunduizi (Think Tank) kuangazia pia tabia za hivi karibuni za Vijana kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Wanawake waliyowazidi umri (Mashangazi) kama njia rahisi ya kujikimu, kutumia muda mwingi bila kufanya kazi kwa kushinda Vijiweni, uchezaji kamari, utupaji taka ovyo, uchomaji moto ovyo wa nyasi na misitu pamoja na ubinafsi.
Pia Makamu wa Rais amesema ni muhimu kuangazia tabia nyingine kama vile matumizi makubwa ya fedha katika anasa kuliko kuweka akiba ikiwemo uchangiaji zaidi katika matukio ya sherehe na tafrija kuliko kusaidia gharama za elimu na matibabu kwa familia za kipato cha chini.
Soma: Kuhusu utafiti wa tatizo la ajira, Dkt. Mpango usihadae Watanzania
Wala wasilaumiwe vijana. Hiyo mishangazi na mijomba ndiyo iliyokosa adabu.
Kijana akilipata jishangazi linalojigongesha afanye nini?
Vijana wenyewe wa siku hizi wakifika miaka 30 tu, hoi bin taabani, mpaka wabustiwe. Mishoga mingi.
Ngojeni nfunguwe uzi niwape Kisa cha kweli cha mshangazi na kijana mdogo kabisa.
npo nalia hadi kamasi hapa kijana wangu,,yaani mnafanya hadharani hadi wakuu wamewaona,jificheni kama bangi bwan
Upo wapi mbona ulikua adimu sana....npo nalia hadi kamasi hapa kijana wangu,,yaani mnafanya hadharani hadi wakuu wamewaona,jificheni kama bangi bwan