Tundazuri
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,932
- 2,525
Boraaa jamani kama ni kweliMpango ndiye mgombea wa CCM 2025.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boraaa jamani kama ni kweliMpango ndiye mgombea wa CCM 2025.
Tatizo wamama nao wanawataka vijana, tena kwa gharama yoyote.Sio bure
Kuna kijana atakua kazama dm ya mama mheshimiwa
Vijana mjitahidi msivuke mipaka,muwe na heshima na mama zenu
Hahaha........vigezo ni vipi hivyo Mjukuu?😜Hakuna shidaa, kama unaona unaweza kupendwa ni vyema, si unajua vigezo lakni🤪
Vigezo uwe ushajipata kwanza na pili uwe unatafuta furahaaa,Hahaha........vigezo ni vipi hivyo Mjukuu?😜
Hahaha........... nakusubiriVigezo uwe ushajipata kwanza na pili uwe unatafuta furahaaa,
Niko pale nimekaa😅Hahaha........... nakusubiri
Ndiyo uanzage kuja bomani kunisalimia Babu yako, au wewe hutaki kusimuliwa hadithi za mwaka 47 😜Niko pale nimekaa😅
Nataka jamani, usininyime uhondo miyeeeNdiyo uanzage kuja bomani kunisalimia Babu yako, au wewe hutaki kusimuliwa hadithi za mwaka 47 😜
Shuga daddies pokeeni maua yenuu mnajua mnajua mnajua tenaaVp kuhusu shuga dadies
Mishangazi tumefundishwa na Mtume Sheikh.Wakuu mmesikia huko alichokisema Dkt. Mpango kuhusu Mashangazi?
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philiph Mpango, amesema zinahitajika tafiti za kina pamoja na mikakati katika kufanya mapinduzi ya kitamaduni kubadili tabia na mazoea yasiyofaa yanayojitokeza katika Jamii hivi sasa ambayo ni kikwazo kwa maendeleo.
Dkt Mpango amesema hayo wakati akifungua mkutano wa kusherehekea miaka 30 ya Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF) uliyofanyika Jijini Dar es salaam ambapo ametaja baadhi ya mazoea na tabia hizo ni pamoja na kutojali muda, kutokuwa na uaminifu mahali pa kazi pamoja na kutumia njia zisizofaa katika kupata kipato.
Makamu wa Rais ameitaka ESRF pamoja na Watalaam wa Fikra Tunduizi (Think Tank) kuangazia pia tabia za hivi karibuni za Vijana kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Wanawake waliyowazidi umri (Mashangazi) kama njia rahisi ya kujikimu, kutumia muda mwingi bila kufanya kazi kwa kushinda Vijiweni, uchezaji kamari, utupaji taka ovyo, uchomaji moto ovyo wa nyasi na misitu pamoja na ubinafsi.
Pia Makamu wa Rais amesema ni muhimu kuangazia tabia nyingine kama vile matumizi makubwa ya fedha katika anasa kuliko kuweka akiba ikiwemo uchangiaji zaidi katika matukio ya sherehe na tafrija kuliko kusaidia gharama za elimu na matibabu kwa familia za kipato cha chini.
Soma: Kuhusu utafiti wa tatizo la ajira, Dkt. Mpango usihadae Watanzania
Haya ndio mambo sasa, alafu hatuna mambo mengi, sisi ni kuhudumia tu alafu mambo mengine kwa mbali, siyo vijana wanafanya kukomoa alafu maokoto kiduchuShuga daddies pokeeni maua yenuu mnajua mnajua mnajua tenaa
Kabisaa mimi nachukia, vijana wasumbufu hadi kerooo, ila shuga Daddy akitabasam unafurahi mwenyewe, no hekaheka kwa kweli. Full upendo kutoka ndani ya kilindi cha moyo, vijana wana matukio mazito unaweza pata kisukariHaya ndio mambo sasa, alafu hatuna mambo mengi, sisi ni kuhudumia tu alafu mambo mengine kwa mbali, siyo vijana wanafanya kukomoa alafu maokoto kiduchu