Dkt. Mpango: Vijana achaneni na kupenda mashangazi

Tatizo la hawa wapumbavu wanaojiita viongozi ni kutoa majibu mepesi na ya kejeli za kiseng€ kwa maswali magumu yanayohitaji thinking na real strategies .
HUyu naye anaitwa kiongozi na Phd zake , sijui nani huwa anawapa hizo Phd waseng€ kama hawa .
Hawa wapuuzi ndio wanashusha hata thamani ya elimu nchi hii , yaani ukisikiliza anachoongea mpumbavu kama huyu Mpango na ngumbaru au teja wa mitaa ya Tandale au Manzese au masanzakona hamna tofauti .
Poor brain ni poor Tu hata ikivikwa Phd maelfu
 
hivi makamu wa rais anaongelea ngono, hivi hatuna mambo ya msingi yanayohitaji attention ya ikulu
 
Huyu naye bunge lingemtimua Kwa kuzubaa kazini na kukosa mvuto...
Hana anachofanya cha maana zaidi ya limsururu lireefu la magari akipitapita kutoa viadisi vyake!!
Rais,WM na naibu WM wanatosha pale juu huyu atimuliwe tuu Hana effect!! Anaisababishia nchi gharama zisizo na tija
 
WACHOKONOZI WAMEMJIBU HILI MUHESHIMIWA
 
Mishangazi tumefundishwa na Mtume Sheikh.
 
Shuga daddies pokeeni maua yenuu mnajua mnajua mnajua tenaa
Haya ndio mambo sasa, alafu hatuna mambo mengi, sisi ni kuhudumia tu alafu mambo mengine kwa mbali, siyo vijana wanafanya kukomoa alafu maokoto kiduchu
 
Haya ndio mambo sasa, alafu hatuna mambo mengi, sisi ni kuhudumia tu alafu mambo mengine kwa mbali, siyo vijana wanafanya kukomoa alafu maokoto kiduchu
Kabisaa mimi nachukia, vijana wasumbufu hadi kerooo, ila shuga Daddy akitabasam unafurahi mwenyewe, no hekaheka kwa kweli. Full upendo kutoka ndani ya kilindi cha moyo, vijana wana matukio mazito unaweza pata kisukari
 
Naamini anajuwa na kufahamu bado TZ ina matatizo ya ...
Rushwa
Miundo mbinu
Huduma za afya
Ustawi wa jamii
Madarasa, shule, libraries, vitabu nk nk
Ajira
Uwajibikaji
nk nk
Kukimbilia vijana kutiana na mashangazi KWANINI NDIO IMEMKAA KICHWANI ZAIDI?!
Viongozi wetu ni MAJANGA KABISA KABISA 🤬🤬🤬🤬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…