Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Sawa, nakusubiri 😜Nataka jamani, usininyime uhondo miyeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, nakusubiri 😜Nataka jamani, usininyime uhondo miyeee
Nakuja kwa kweliSawa, nakusubiri 😜
Sawa, tena uzuri wake muda huu nimevaa miwani yangu ya macho ili nikuone vizuri Mjukuu 🤗Nakuja kwa kweli
Atengeneze kwanza ajira huenda wakamsikiliza,!Wakuu mmesikia huko alichokisema Dkt. Mpango kuhusu Mashangazi?
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philiph Mpango, amesema zinahitajika tafiti za kina pamoja na mikakati katika kufanya mapinduzi ya kitamaduni kubadili tabia na mazoea yasiyofaa yanayojitokeza katika Jamii hivi sasa ambayo ni kikwazo kwa maendeleo.
Dkt Mpango amesema hayo wakati akifungua mkutano wa kusherehekea miaka 30 ya Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF) uliyofanyika Jijini Dar es salaam ambapo ametaja baadhi ya mazoea na tabia hizo ni pamoja na kutojali muda, kutokuwa na uaminifu mahali pa kazi pamoja na kutumia njia zisizofaa katika kupata kipato.
Makamu wa Rais ameitaka ESRF pamoja na Watalaam wa Fikra Tunduizi (Think Tank) kuangazia pia tabia za hivi karibuni za Vijana kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Wanawake waliyowazidi umri (Mashangazi) kama njia rahisi ya kujikimu, kutumia muda mwingi bila kufanya kazi kwa kushinda Vijiweni, uchezaji kamari, utupaji taka ovyo, uchomaji moto ovyo wa nyasi na misitu pamoja na ubinafsi.
Pia Makamu wa Rais amesema ni muhimu kuangazia tabia nyingine kama vile matumizi makubwa ya fedha katika anasa kuliko kuweka akiba ikiwemo uchangiaji zaidi katika matukio ya sherehe na tafrija kuliko kusaidia gharama za elimu na matibabu kwa familia za kipato cha chini.
Soma: Kuhusu utafiti wa tatizo la ajira, Dkt. Mpango usihadae Watanzania
Hajawasaidia, anadhani sisi mama zao huwa hatuwaambii!?Jamaa ametoa hotuba nzuri Sana .
Ndio babu, napenda unione vzr unizumuSawa, tena uzuri wake muda huu nimevaa miwani yangu ya macho ili nikuone vizuri Mjukuu 🤗
Ajira huleta pesaTatizo pesa
Mpuuzi wewe!Tena huyo BABU KIZEE atukome kabisa mashangazi, kwani nani amemtuma? Kiherehere chake tu.
Sisi mashangazi tunapinga vikali kauli ya huyo BABU KIZEE MPANGO, TUNASEMAJEEEEE, atuache na vibenteni wetuu.
Hivi anaujua utamu wa vibenteni kweli huyu au anabwata tu? Baadaye nitatoa TAMKO RASMI.
Cc: FaizaFoxy Mbaga Jr Kapeace Kalpana Extrovert dronedrake fundi bishoo Lamomy Nyani Ngabu
Ili iweje?Mzee Mpango anajua anachokisema ??
Hivi shangazi huwa linaolewa ???
Mpango anasema mashangazi huwa yanaolewa... hajui alisemaloIli iweje?
Hajui alisemalo, mashangazi wanaolewa kwa muda tuuMpango anasema mashangazi huwa yanaolewa... hajui alisemalo