Tutakukumbuka kwa mchango wako ulioutoa ktk taifa hili la Tanzania.
Mchango gani katoa ?
Mchango ni kitu umefanya bure au cha ziada.
Mtu anafanya routine work miaka nenda rudi hana jipya, analipwa mshahara,anastaafu anapata pensheni, unakuaje ni mchango?
Waziri toka niko primary school in the 80s, mjumbe wa NEC wa kudumu toka 1978, mbunge wa Uzini wa kupita bila kupingwa toka 1988 mpaka alipoacha mwenyewe 2015, miaka 27!
Leo kafa. Obituary yake inandikwa alifanya nini na mavyeo hayo? NOTHING!
Aliwahi kuwaza nini, NOTHING!
kushauri nini kwa Marais waliokuwa wanampa mavyeo, NOTHING!
kapinga nini, kasimamia nini, NOTHING!
Mawazo yake wanasema yako kwenye vitabu vyake. Vinaitwaje?
VIFARU WEUSI!
WASAKA TONGE!
TAARAB NA ZANZIBAR
CHANJO ( Sijui ya Covid ???)
Are you freaking serious ?