stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Uko sahihi,ingawa wachache watakuelewa hapa,mara nyingi wamekuwa wakiyatumia ili kupata sympathy hasa pale wanapokuwa wamekwama,ila ukija kufatilia kwa undani unaweza kukuta labda yeye ndio mwenye tatizo.Hapa umakini unahitajika ili kutatua hili sakata lao,kwani maswala ya ndoa huwa ni magumu sana...Kila jambo lina pande 2. Machozi ya mwanamke si ya kuamini sana.