Uko sahihi,ingawa wachache watakuelewa hapa,mara nyingi wamekuwa wakiyatumia ili kupata sympathy hasa pale wanapokuwa wamekwama,ila ukija kufatilia kwa undani unaweza kukuta labda yeye ndio mwenye tatizo.Hapa umakini unahitajika ili kutatua hili sakata lao,kwani maswala ya ndoa huwa ni magumu sana...Kila jambo lina pande 2. Machozi ya mwanamke si ya kuamini sana.
Ampgie magoti? Why?Angekuwa na hekima angeomba watu wenye hekima kukutanishwa na mumewe ampigie magoti.
Hii ni sanaa kutaka huruma za watu tu.
Hivi wanaume wanajijua basi , wengi hata wakiitwa hawaendi na akienda anakuwa mbabe, hivyo atakuwa anamfahamu vizuri mwenzieAngekuwa na hekima angeomba watu wenye hekima kukutanishwa na mumewe ampigie magoti.
Hii ni sanaa kutaka huruma za watu tu.
Yanajifanya wababe lakini wakiambiwa kuachwa wanang'ang'aniaWanaume wa siku hizi hawaachiko kirahisi mpk zifanywe drama nyingi[emoji23][emoji23][emoji23] kinachomuums dr makanjanja ni kutoa talaka akijua kuna mtu atachukua zigo[emoji23][emoji23],,
Hapa piga ua talaka yangu utatoa, atoe talaka wanaume wachukue zigo[emoji23]
Yani ni vichekesho,Yanajifanya wababe lakini wakiambiwa kuachwa wanang'ang'ania
Sasa kama Mme ndiyo tena mwaka unakatika anapikiwa tu misosi anafuliwa lakini hakuna cha maana jogoo hana ndevu[emoji7][emoji7][emoji7]Uko sahihi,ingawa wachache watakuelewa hapa,mara nyingi wamekuwa wakiyatumia ili kupata sympathy hasa pale wanapokuwa wamekwama,ila ukija kufatilia kwa undani unaweza kukuta labda yeye ndio mwenye tatizo.Hapa umakini unahitajika ili kutatua hili sakata lao,kwani maswala ya ndoa huwa ni magumu sana...
Endelea kusikia hivyo hivyoNasikia mganga wa nguvu za kiume jogoo hapandi mtungi ndio sababu ya kuachwa.
Vichekesho haswaa unakuta kimwanaume kina sumbua lakina mke akichoka kinamshuka amuache mama wawatu.Yani ni vichekesho,
Mganga wa mchongo kagoma kuachika😬😁😁Wanaume wa siku hizi hawaachiko kirahisi mpk zifanywe drama nyingi😂😂😂 kinachomuums dr makanjanja ni kutoa talaka akijua kuna mtu atachukua zigo😂😂,,
Hapa piga ua talaka yangu utatoa, atoe talaka wanaume wachukue zigo😂
Kwani huyo mwanamke kazuia Dr mwaka asisikizwe?Hii tabia ya kusikiliza upande mmoja wa mwanamke na maneno yake ya kutia huruma na kuja na hukumu, ni mbaya sana..
Nimegundua huyu mama ana hekima sana
Haijalishi kuwe na pande mbili au tatu kila mtu ana mapungufu yake kwenye Ndoa.Mungu alikuwa na maana yake alipo weka TARAKAKila jambo lina pande 2. Machozi ya mwanamke si ya kuamini sana.
"Mwanamke" kama kaona "Jamaa" hataki kutoa "talaka" basi atoe yeye lakini pia kwa kufanya hivyo "atapoteza" haki yake ya kugawana/kugawiwa "mali"
Ampigie magoti kisa talaka wakati ni haki yake huyo mwaka ni 🚮🚮🚮Angekuwa na hekima angeomba watu wenye hekima kukutanishwa na mumewe ampigie magoti.
Hii ni sanaa kutaka huruma za watu tu.
Hiyo mahali kama doti ya khanga inakuwaje?Ila utaratibu wa kiislam ni simple sana kwenye kuachana, kama mke hamtaki mume basi AJIVUE yaani GHLUUW kwa kurudisha mahali ya mume na basi wanakuwa wameachana.
I don’t understand why huyo mwanamke hajashauriwa hivyo mpaka sasa. Na huyo Dr Mwaka akubali kuachika ili maisha yaendelee. Huko ni kumdulumu huyo mwanamke na ataulizwa na ﷲ siku ya Qiyama.
Ila hakika si kila chozi la mwanamke ni la kuliamini
Itamtafuna sana huyo Dr. Mwaka laiti angejua kuna siku itafika atakuwa hoi kitandani na mtu ambaye anaweza kuwa msaada ni huyo mwanamke basi angetulia. Hakunaga mapenzi kwenye nyakati za starehe na burudani bali utapeli mtupu.Mama alikuwa anataka abaki na nyumba alelee watoto kaamua kuiachia,
We Mwaka chukua manyumba yako na magari yako, toa talaka.