Dkt. Mwaka ajitafakari. Upendo ukiisha ni busara kukubali kuachia na maisha yaendelee

Mke akichepuka anastahili mawili
1.taraka
2.kusamehewa
Kukusaliti ni sababu
1.hafai kuwa mke
2.hakupendi
3.humridhishi kingono
Mke sio Mali yako ni binadamu mlieingia mkataba akivunja huruhusiwi hata mpiga kibao unapaswa umwache .sheria ya nchi n'a dini hazitambui ndoa kama undugu .mm dadangu akusaliti umpige utajua ulioa kwa wanaume,muacheee!!!
 
😂😂😂Tulizoea wanawake ndo wanaachika siku hizi hata na wao wanaachika vilevile
 
Hv huyo jamaa ndo huwa ana wake 3 analala nao bed 1 eeh?
 
Yalipofikia Dr ndo anaonekana mbaya atoe yeye hiyo talaka ama atoe mkewe, kamuacha mwaka mzima hajiulizi anaishije?
 
Naomba nisiseme sana sijui undani wa jambo hili.
WAkuu wadini hadi wamehitalifiana ujue kuna jambo zito
 
Kama nakumbuka sawa sawa, huyu mama alienda na wenzake kudai talaka. Sifurahii anayopitia lakini pia kama suala liko kwenye vyombo vya sheria kwann anaongea Tena na vyombo vya habari? Nadhan angeweka nguvu kubwa kwenye kudai talaka yake mahakamani.

Mwaka sijawahi, sikuwahi kunielewa wala kumuamini, tangia kipindi kile atutangazie wakeze na kusema analala nao wote kwa kitanda moja, aaah nilimuona huyu ana matatizo ya akili.

ampe talaka mkewe, mambo yasiwe mengi ama kwa wenzetu waislamu mwanamke si anauwezo wa kutoa takala? atoe ampeeeeee Mwaka asepeee
 
Kwanini aoe zaidi ya wawili?Wanawake wana roho nao.Wacha yamkute.
 
Shida ni kwamba navyoona hapa kwa sheria za Kiislam mwanamke ana uwezo pia wa kumwacha (kumpa talaka mwanaume) mwanaume but mke wa Mwaka hataki kumwacha Dr Mwaka kwa sababu anajua atapoteza stahiki zake ikiwa ni pamoja na mali wanazomiliki
 
Shida ni kwamba navyoona hapa kwa sheria za Kiislam mwanamke ana uwezo pia wa kumwacha (kumpa talaka mwanaume) mwanaume but mke wa Mwaka hataki kumwacha Dr Mwaka kwa sababu anajua atapoteza stahiki zake ikiwa ni pamoja na mali wanazomiliki
Hapa ndio Kuna shida

Sent by Iphone 14 pro
 
Uislam na sheria zake zoote zipo kwenye maandishi(qur an) naomba uniwekee hiyo aya uliyonukuu kuwa mwanamke anatakiwa arudishe kila alichopewa na mmewe akiwa ndoani ili aweze kujikomboa (kutoa talaka)
 
Mkuu hivi umwjiuliza chanzo cha mgogoro ni nini?
Mwanamke amezini halafu akimbilie kuomba talaka?
Mwaka ndiye aliyepaswa kuomba talaka sio huyu mnayemhurumia.
Mnadannganywa na machozi?
Kuzini kupo ila kuna taratibu zake ktk dini ya kiislam ambazo si huyo Juma Mwaka wala yeyote yule anaweza kuzitimiza ili kuuita kuwa ni uzinzi na ikithibitika kuwa amezini ni kuwa automatical kuwa huyo si mke tena
 
Uislam na sheria zake zoote zipo kwenye maandishi(qur an) naomba uniwekee hiyo aya uliyonukuu kuwa mwanamke anatakiwa arudishe kila alichopewa na mmewe akiwa ndoani ili aweze kujikomboa (kutoa talaka)
Nikuwekee aya wewe kama nani yaani nifanye kazi ya kusoma kitabu kizima ili nikuletee iyo aya? Mimi nakumbuka mtililiko wa nilichokisoma sifanyi kazi ya kukalili mistari ya kitabu kizima kama unataka aya nenda kamuulize kiongozi wako wa dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…