Dkt. Mwaka ajitafakari. Upendo ukiisha ni busara kukubali kuachia na maisha yaendelee

Dkt. Mwaka ajitafakari. Upendo ukiisha ni busara kukubali kuachia na maisha yaendelee

Mwaka ametaka mali?
Mwaka anatake msaliti aendelee kuwa kwenye himaya yake.
Mnamkandamiza mwanaume mwenzenu kwa kutishwa na machozi?

Wewe mke achepuke kirahisi akimbilie kuomba talaka?

Ninasimama na mwaka.
Siku Mwaka akifunua mdomo mtaaibika sana watetezi wa mwansmke huyu
Mke akichepuka anastahili mawili
1.taraka
2.kusamehewa
Kukusaliti ni sababu
1.hafai kuwa mke
2.hakupendi
3.humridhishi kingono
Mke sio Mali yako ni binadamu mlieingia mkataba akivunja huruhusiwi hata mpiga kibao unapaswa umwache .sheria ya nchi n'a dini hazitambui ndoa kama undugu .mm dadangu akusaliti umpige utajua ulioa kwa wanaume,muacheee!!!
 
Wanaume design ya Dr Mwaka ni makatili. Ndo haya unayoyaona hata humu jf yanakwambia mwanamke asifanye kazi. Ili yapate nguvu ya kuendelea kumnyanyasa mwanamke.

Wanawake wajifunze, ukiwa huna kitu unategemea mwanaume akutunze mwishowe ndo hivo linajiona kama baba ako. Wahed
😂😂😂Tulizoea wanawake ndo wanaachika siku hizi hata na wao wanaachika vilevile
 
Hv huyo jamaa ndo huwa ana wake 3 analala nao bed 1 eeh?
 
Huyo mama ameshapata bwana wa kumuoa na hiyo ndiyo ilikuwa sababu kubwa ya shekh mkuu wa dar kuondolewa madaraka.
Dr Mwaka sio kwamba anashindwa kumuacha ila anaogopa Kuna stahiki za mwanamke lazima atapata kama mgao wa mali na kadharika .. Dr Mwaka anataka aachwe yeye apewe yeye taraka anajua akiachwa yeye kuna vitu vingi atafaidika navyo kuliko mwanamke.
NB:Huyu mwanamke ni msanii kiislam kama mwanaume hataki kutoa taraka mwanamke anao uwezo wa kutoa taraka,Sasa yeye mwanamke anashindwa nini kutoa taraka apate hiyo amani ya moyo anayotaka?
Yalipofikia Dr ndo anaonekana mbaya atoe yeye hiyo talaka ama atoe mkewe, kamuacha mwaka mzima hajiulizi anaishije?
 
Mke akichepuka anastahili mawili
1.taraka
2.kusamehewa
Kukusaliti ni sababu
1.hafai kuwa mke
2.hakupendi
3.humridhishi kingono
Mke sio Mali yako ni binadamu mlieingia mkataba akivunja huruhusiwi hata mpiga kibao unapaswa umwache .sheria ya nchi n'a dini hazitambui ndoa kama undugu .mm dadangu akusaliti umpige utajua ulioa kwa wanaume,muacheee!!!
Naomba nisiseme sana sijui undani wa jambo hili.
WAkuu wadini hadi wamehitalifiana ujue kuna jambo zito
 
Kuna vitu vitatu muhimu sana kwenye hili sakata
1. Mwanamke ndio anataka talaka
2. Hataki kudhalilishana kwenye mitandao ya kijamii( hili nimempa big up sana)
3. Hataki kugombea mali anataka amani ya moyo aachwe alee wanae!
Kwa hizo point tatu unaweza kuona wazi tatizo liko upande gani
Kama nakumbuka sawa sawa, huyu mama alienda na wenzake kudai talaka. Sifurahii anayopitia lakini pia kama suala liko kwenye vyombo vya sheria kwann anaongea Tena na vyombo vya habari? Nadhan angeweka nguvu kubwa kwenye kudai talaka yake mahakamani.

Mwaka sijawahi, sikuwahi kunielewa wala kumuamini, tangia kipindi kile atutangazie wakeze na kusema analala nao wote kwa kitanda moja, aaah nilimuona huyu ana matatizo ya akili.

ampe talaka mkewe, mambo yasiwe mengi ama kwa wenzetu waislamu mwanamke si anauwezo wa kutoa takala? atoe ampeeeeee Mwaka asepeee
 
Lakini kwanini sisi hatujwahi kuipenda kweli watu wangu?

Kosa la Mwaka liko wapi?

Unajua mwanaume unapokuwa na mke wako unamhudumia kwa kila hali halafu ghafla unamfumania analiwa na jitu labda limehonga mafuta ya 50k tu ni sawa?
Kwanini hamvai kiqtu cha Mwaka?
Kama Mwaka ana makosa na wameahindwa kusuluhishwa hapo sawa.
Lakini kwa ishu ya uzinzi tutetee uovu wanangu?
Kwanini aoe zaidi ya wawili?Wanawake wana roho nao.Wacha yamkute.
 
Nikisoma comment za watu humu jf nagundua kila siku kwamba kuna baadhi ya wanaume ni very weak. Nahisi hata neno weak halitoshi! Very pathetic.

Sasa kama mwanamke ndo anataka mwaka amuache tena anataka aondoke peke yake asichukue chochote unasemaje mwanamke ni msanii? Huwa mnaona upande wa mwanamke ndo wenye tatizo siku zote.
Mnaosema kataa ndoa mngeanza kwanza kukataza ndoa za mitala sijui wake wanne ni ushenzi tu! Kama huwezi kumudu wanawake hata wawili basi usijifanye unafatisha dini kumbe unataka kufanya unyanyasaji tu.

Ona wapuuzi watakavyokuja na povu. I hate misogynists na sichoki kuvurugana na nyie ili kutetea haki ya mwanamke anaeonewa. Dr mwaka si umuache huyo mama unamkomalia ili umuue au?
Shida ni kwamba navyoona hapa kwa sheria za Kiislam mwanamke ana uwezo pia wa kumwacha (kumpa talaka mwanaume) mwanaume but mke wa Mwaka hataki kumwacha Dr Mwaka kwa sababu anajua atapoteza stahiki zake ikiwa ni pamoja na mali wanazomiliki
 
Shida ni kwamba navyoona hapa kwa sheria za Kiislam mwanamke ana uwezo pia wa kumwacha (kumpa talaka mwanaume) mwanaume but mke wa Mwaka hataki kumwacha Dr Mwaka kwa sababu anajua atapoteza stahiki zake ikiwa ni pamoja na mali wanazomiliki
Hapa ndio Kuna shida

Sent by Iphone 14 pro
 
Unaongelea sheria za nchi gani dada angu? Kama ulikua ujui sheria za ndoa na mahusiano zinamlinda zaidi mwanamke. Uyo mwanamke afate utaratibu tu talaka atapata kwa mujibu wa dini yao mwanamke anaweza kutoa talaka ila atawajibika kulipa kila kitu alichopewa na mwanaume kuanzia mahari na mali zingine kama alipewa.
Uislam na sheria zake zoote zipo kwenye maandishi(qur an) naomba uniwekee hiyo aya uliyonukuu kuwa mwanamke anatakiwa arudishe kila alichopewa na mmewe akiwa ndoani ili aweze kujikomboa (kutoa talaka)
 
Mkuu hivi umwjiuliza chanzo cha mgogoro ni nini?
Mwanamke amezini halafu akimbilie kuomba talaka?
Mwaka ndiye aliyepaswa kuomba talaka sio huyu mnayemhurumia.
Mnadannganywa na machozi?
Kuzini kupo ila kuna taratibu zake ktk dini ya kiislam ambazo si huyo Juma Mwaka wala yeyote yule anaweza kuzitimiza ili kuuita kuwa ni uzinzi na ikithibitika kuwa amezini ni kuwa automatical kuwa huyo si mke tena
 
Uislam na sheria zake zoote zipo kwenye maandishi(qur an) naomba uniwekee hiyo aya uliyonukuu kuwa mwanamke anatakiwa arudishe kila alichopewa na mmewe akiwa ndoani ili aweze kujikomboa (kutoa talaka)
Nikuwekee aya wewe kama nani yaani nifanye kazi ya kusoma kitabu kizima ili nikuletee iyo aya? Mimi nakumbuka mtililiko wa nilichokisoma sifanyi kazi ya kukalili mistari ya kitabu kizima kama unataka aya nenda kamuulize kiongozi wako wa dini
 
Back
Top Bottom