Akija mwenzio ku mpole tu, mpokee kwa furaha na mapenzi🤪
Huo ni mtihani mkubwa kwa sasa WallahNdo ninapojiuliza hapo kila siku mweehe
Huwezi jua, kila ajae si huja na rizki yake ukhuty? Ujio wake yaweza kua sababu ya ugali kuongezeka nyumbani kwenu🤪Wewee subutu labda mume wetu awe na mapesa hapo sawa lkn hawa pangu pakavu kukupa ugali dagaa wewe tu nitaabu halaf uletewe mwenzio thubutuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Aweeeeeee hapana kwa kweliHuwezi jua, kila ajae si huja na rizki yake ukhuty? Ujio wake yaweza kua sababu ya ugali kuongezeka nyumbani kwenu🤪
Akihojiwa anaonekana ni muislamu. Wake zake ambao ni mikwaju ya ukweli wamejifunga hijabu ama ushungi.
In kujiondoa Uingereza jimuiya ya Ulaya, kuna mambo mengi ya kuzungumza. Mapenzi pia ni maisha haswa ndoa. Wewe hupendi maisha hayo yakhee?Mambo ya chupi! Chupi! Yanayoendana na kwichikwichi wabongo wamefika! Ukiwauliza "Brexit ya Uingereza ni nini hawajui" japo haiwahusu kiviiile?
😂 😂 😂 😂 😂Mambo ya chupi! Chupi! Yanayoendana na kwichikwichi wabongo wamefika!
Wewe ulivyomsikia huyo Mwaka alisema analala na wake zake kwa vipindi au alisema analala nao siku zote? Unataka kusema yeye Mwaka hafanyi mapenzi na wake zake?Kheeee kila siku wanandoa ina maana wanafanya mapenzi
Wanaikurubia zinaa na hakika zinaa ni uchafu.
Mtafute Dr Mwaka maana mke wa Tatu anadai anataka aletewe mwezie kama alivyoletwa yeye pia.mi nataka niolewe mke wa nne aisee ntamwaga maupendo kama yote kwa dada zangu[emoji3]. ila waridhie kwanza
Dr alisema katetereka miaka miwili lakini mapenzi kama yote.Hakuna mapenzi. Kwenye hela watachukiana vipi. Subiri uine timbwili akitetereka.
Sent using Jamii Forums mobile app