Dkt. Mwaka akiri kulala na wakeze wawili chumba kimoja. Ashikwa kigugumizi kuhusu kushiriki nao tendo kwa pamoja 'Threesome'

Dkt. Mwaka akiri kulala na wakeze wawili chumba kimoja. Ashikwa kigugumizi kuhusu kushiriki nao tendo kwa pamoja 'Threesome'

Wewee subutu labda mume wetu awe na mapesa hapo sawa lkn hawa pangu pakavu kukupa ugali dagaa wewe tu nitaabu halaf uletewe mwenzio thubutuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Huwezi jua, kila ajae si huja na rizki yake ukhuty? Ujio wake yaweza kua sababu ya ugali kuongezeka nyumbani kwenu🤪
 
Kuna video zinatembea zikionesha wake wawili wa Daktari wa tiba asili Dr Mwaka, jinsi wanavyopendana. Kifupi Dr Mwaka ana wake watatu ila watatu hakuwepo wawili wakihojiwa.

Wanapendana mno na wanaitana kipe yani kipenzi. Wanadai wanalala kitanda kimoja wote na mume wao. Dr Mwaka anadai alipitia kipindi kigumu miaka miwili kutokana na saga lake na Kigwangala, lakini warembo wake wote watatu waliendelea kumng'ang'ania bila kukata tamaa.

Wamama ama mabinti hawa wamesisitiza ndoa za kislamu ziige mfano wao.
 
Kheeee kila siku wanandoa ina maana wanafanya mapenzi
Wewe ulivyomsikia huyo Mwaka alisema analala na wake zake kwa vipindi au alisema analala nao siku zote? Unataka kusema yeye Mwaka hafanyi mapenzi na wake zake?
 
mi nataka niolewe mke wa nne aisee ntamwaga maupendo kama yote kwa dada zangu[emoji3]. ila waridhie kwanza
 
Wanaweke kuanzia lini wanapendana, wanapendana kwa maneno, lakini ndani ya mioyo yao kile 1 yupo mbali na mwezake. Kila mmoja anawaza yaliyo mabaya kwa mwezake.

Hiyo ndo asili ya wanawake.
 
Back
Top Bottom