Dkt. Mwaka akiri kulala na wakeze wawili chumba kimoja. Ashikwa kigugumizi kuhusu kushiriki nao tendo kwa pamoja 'Threesome'

Dkt. Mwaka akiri kulala na wakeze wawili chumba kimoja. Ashikwa kigugumizi kuhusu kushiriki nao tendo kwa pamoja 'Threesome'

Hakuna upendo kati yetu wanawake ikija swala la mume tuko selfish...mimi hii siikubali kabisaa..
 
mwanaume mashine! na yale matunda ya dawa anayokunywa atakuwa anawashughulikia vizuri
 
Kuna kitu kinaitwa THREE SOME +

hao washakuwa waathirika wa ngono ya zaidi ya watu wawili. I mean wanawake wawili kufanya sex na mwanaume mmoja au kinyume chake.

Na hii inazidi kushika kasi. Hao wanawake wana uwezo wa kukidhiana haja zao wawili au wote watatu bila Dr Mwaka kuwepo.

It's a kind of sexual addiction.

Africa hatujafika kiwango hiko cha wake wenza kupendana hvyo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@LICHADI,post: 34450699, member: 272248"]Nawahakikishieni hao wanawake wapo kifedha tu hapo wanamvumilia sababu ya vyuma tu kukaza na fedha za jamaa , lakini hamna Mwanamke anayependa kushea dyudyu, then wawili sawa ila wake watatu ni tamaa tu, na hapo lazima achapiwe ndio utakuta umeme unaingia ndani ya familia anauleta mmoja then wote wananasa, wanawake watatu utawezaje kuwarizisha kisawasawa kama sio tamaa tu

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]Ndio maana mke mkubwa humuoni kaandamana na hao wawili

-all is well-
 
imejipost
tapatalk_1582664968556.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mujibu wa dini yake hilo ni kosa tena kubwa sana, Mume haruhusiwi kufanya mapenzi na wakeze kwa wakati mmoja,
Innalillah wainna illah raji'un.
Acha zako.....
ni haki yake kuwapa mijeredi whether wapo chumba kimoja ama tofauti....
kwa muda mmoja ama tofauti...
 
Yani nimemtafakari huyo Mwaka nawakeze nabaki kuguna.
Haya kalala nao usiku akapata hamu atamuanza yupi na huyu mwingine atavumilia???Aisee wamejidhalilisha sana sana wanaona ufahari .
Na wameshaweka kumbukumbu ivoooo mitandao itakumbuka miaka 10 mbele saizo watoto wao weshakua wakubwa.
Ptuuuuuuuuuu anachovya hapa anachomoa anaweka huku eeeeeew!

Sent using Jamii Forums mobile app
Msikute nyie ndio mnabamizwa threesome kimya kimya...alafu hapa unaleta za kuleta....
 
Back
Top Bottom