Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu yangu kijijini alikuwa ana Nyumba ya nyasi ila alioa wanawake 3 na alikuwa hana hela.. Nasisitiza kuoa wanawake zaidi ya mmoja ni maamuzi.Angekuwa Hana hela hao wanawake wake aliowapatia kwenye matatizo ya uzazi unadhani wangemuelewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtafute Dr Mwaka maana mke wa Tatu anadai anataka aletewe mwezie kama alivyoletwa yeye pia.
Karibu Bongo BINTI KIZIWI pôle na yote yalikukuta China, nimeona interview yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha zako.....Kwa mujibu wa dini yake hilo ni kosa tena kubwa sana, Mume haruhusiwi kufanya mapenzi na wakeze kwa wakati mmoja,
Innalillah wainna illah raji'un.
Msikute nyie ndio mnabamizwa threesome kimya kimya...alafu hapa unaleta za kuleta....Yani nimemtafakari huyo Mwaka nawakeze nabaki kuguna.
Haya kalala nao usiku akapata hamu atamuanza yupi na huyu mwingine atavumilia???Aisee wamejidhalilisha sana sana wanaona ufahari .
Na wameshaweka kumbukumbu ivoooo mitandao itakumbuka miaka 10 mbele saizo watoto wao weshakua wakubwa.
Ptuuuuuuuuuu anachovya hapa anachomoa anaweka huku eeeeeew!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaah wapi sio kila mtu ana akili chafu kama hao....Msikute nyie ndio mnabamizwa threesome kimya kimya...alafu hapa unaleta za kuleta....
Vazi la hijabu linampendezesha sana mwanamke, angalia alipokua kichwa wazi na hapo alivyo vaa hijabu, Maa shaa Allah, Maa shaa Allah, Maa shaa Allah.
Ni vazi ambalo pia unaweza ukatapeliwa....Vazi la hijabu linampendezesha sana mwanamke, angalia alipokua kichwa wazi na hapo alivyo vaa hijabu, Maa shaa Allah, Maa shaa Allah, Maa shaa Allah.
Nahisi anataka awauzie nyumbu dawa ya kuongeza nguvu za kiume