tzkwanza
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 1,568
- 3,610
Jana baada ya JPM kumchamba binti wa kigogo sio kigogo 2014, Mwelentuli Malecela ndio kwanza kamuongezea umaarufu huko Twitter.
Kwa siku moja tu ya jana followers wake wameongezeka kutoka 40,000 hadi 52,000.
Ombi langu mh. JPM wewe ni mtu mkubwa acha kupoteza muda kuchambana na wanawake.
Ona sasa umemuongezea umaarufu badala ya kumpunguzia.