Dkt. Mwele Malecela afikisha 50k followers Twitter mara baada ya kuongelewa na Rais Magufuli

Dkt. Mwele Malecela afikisha 50k followers Twitter mara baada ya kuongelewa na Rais Magufuli

Iko hivi ukitumbuliwa na magu kesho ukapata shavu kwenye mashirika ya kitaifa anachukia sana na atakutaftia platfom aseme ulikuwa unatumika.
Ha ha ha huyu kiongozi ni wa ajabu sana. Halafu haoni aibu kuongea uongo hadharani.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Kasomeni publications zinazoongelea kuwepo kwa viashiria vya zika bongo, cases za microcephaly zipo tu sema hakuna anayeziripoti na kuzihusisha na zika. Kuna mama mmoja nafikiri wa kule Mtwara ana watoto kama 3 wote wana vichwa vidogo na wana ulemavu wa akili. Kuna kipindi huwa anakuja dar anapewa misaada na raia.....kwa hiyo tusikimbilie tu kukanusha kwamba hatuna magonjwa bila kuwa na concrete evidence...
 
Back
Top Bottom