Dkt. Mwele Malecela afikisha 50k followers Twitter mara baada ya kuongelewa na Rais Magufuli

Dkt. Mwele Malecela afikisha 50k followers Twitter mara baada ya kuongelewa na Rais Magufuli

Tofauti ya waliosoma na wasiosoma Tanzania sijui ni nini yani jitu linafurahia followers tweeter!dah ngoja nipalilie kunde zangu
Na wewe ndio urudi darasani sasa,ili uelewe utofauti wa Twitter vs Tweeter.
 
Alikuwa anatumika na nani? Wivu tu na roho mbaya. Umemtumbua mtu ili kumkomoa matokeo yake UN wanamuajiri.

Hao UN ambao Magufuli anawaita mabeberu kila siku anamtuma Kabudi na Mpango kuwaomba hela.

Tarehe 10 mabeberu wanakaa kutujadili kama watupe hela au wasitupe. Kama Magu jeuri mwambie a-cancel hayo maombi.
Kha!kha!khaaa!!.
 
Ukubwa upi? Africa , hata duniani yoyote anweza kuwa Rais! Lkn siyo kila mmoja anweza kuwa Profesa of chemistry!
Ombi langu mh. JPM wewe ni mtu mkubwa acha kupoteza muda kuchambana na wanawake.
 
Watu wanakufollow halafu wanabaki kukuangalia.
Mange ana uzoefu sana hizi follow follow,maana zilivyokuja kumruka hadi ilibidi aachie neno moja zetu kweli kweli.
 
Mfumo wa kikomunisti uruhusiwi kuwa maarufu kuliko anayekutawala
 
Huyo aliyemuweka mtoto wake hazina ili waibe vizuri ndio mzalendo?

Anayemsifia hawara yake hadharani badala ya kusifia madaktari na wauguzi ndio mzalendo?

Anayetumia kodi za wananchi kununua wabunge na madiwani wa upinzani ndio mzalendo?

Mimi imeuliza ugonjwa wa zica uko wapi hayo mengine siyajui
 
Jana baada ya JPM kumchamba binti wa kigogo sio kigogo 2014, Mwelentuli Malecela ndio kwanza kamuongezea umaarufu huko Twitter.

Kwa siku moja tu ya jana followers wake wameongezeka kutoka 40,000 hadi 52,000.

Ombi langu mh. JPM wewe ni mtu mkubwa acha kupoteza muda kuchambana na wanawake.

Ona sasa umemuongezea umaarufu badala ya kumpunguzia.

Kuna faida anapata?
 
Akili zingine mavi. Mtoa mada umaarufu kwa ajili followers haukulipi konki maarufu na liquid maarufu umaarufu bila pesa hauna faida
 
Akili zingine mavi. Mtoa mada umaarufu kwa ajili followers haukulipi konki maarufu na liquid maarufu umaarufu bila pesa hauna faida
Akili za mavi ni huyo bwana wenu asiye na aibu anasimama mbele za watu kuchambana na wanawake. Ovyoo sana hili lisukuma!
 
Back
Top Bottom