Dkt. Mwele Malecela afikisha 50k followers Twitter mara baada ya kuongelewa na Rais Magufuli

Dkt. Mwele Malecela afikisha 50k followers Twitter mara baada ya kuongelewa na Rais Magufuli

Jana baada ya JPM kumchamba binti wa kigogo sio kigogo 2014, Mwelentuli Malecela ndio kwanza kamuongezea umaarufu huko Twitter.

Kwa siku moja tu ya jana followers wake wameongezeka kutoka 40,000 hadi 52,000.

Ombi langu mh. JPM wewe ni mtu mkubwa acha kupoteza muda kuchambana na wanawake.

Ona sasa umemuongezea umaarufu badala ya kumpunguzia.

Kwahiyo kwa hao ' Followers ' wake sasa ndiyo ameshakuwa tayari Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Vyama vya Upinzani na Wameshika Dola rasmi?
 
1. Huwezi kuacha kusema ukweli kwa hofu ya kumuongezea mtu umaarufu. Kitendo cha Mwele kutangaza uwepo wa ugonjwa ambao haukuwepo kilikuwa cha ajabu kupata kufanywa na mwanasayansi.
2. Sio kila umaarufu ni honorable. Osama bin Laden alikuwa maarufu kuliko mtu yeyote in recent memory, lakini umaarufu wake ulikuwa dishonorable.
 
Alikuwa anatumika na nani? Wivu tu na roho mbaya. Umemtumbua mtu ili kumkomoa matokeo yake UN wanamuajiri.

Hao UN ambao Magufuli anawaita mabeberu kila siku anamtuma Kabudi na Mpango kuwaomba hela.

Tarehe 10 mabeberu wanakaa kutujadili kama watupe hela au wasitupe. Kama Magu jeuri mwambie a-cancel hayo maombi.
😃😃
 
Kwahiyo kwa hao ' Followers ' wake sasa ndiyo ameshakuwa tayari Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Vyama vya Upinzani na Wameshika Dola rasmi?
😃😃 najiuliza ana nufaika nao vipi. ..? wana muingizia pesa?

au ndio kama ilivyo kawaida yetu wabongo kushabikia mpaka mambo ya kijinga jinga
 
1. Huwezi kuacha kusema ukweli kwa hofu ya kumuongezea mtu umaarufu. Kitendo cha Mwele kutangaza uwepo wa ugonjwa ambao haukuwepo kilikuwa cha ajabu kupata kufanywa na mwanasayansi.
2. Sio kila umaarufu ni honorable. Osama bin Laden alikuwa maarufu kuliko mtu yeyote in recent memory, lakini umaarufu wake ulikuwa dishonorable.
👏👏👏
 
The Giver, The Provider, The Merciful, The Justice and All Other Holly Names Proved His Existence.
 
Sasa hiyi zica aliyoitangaza iko wapi jamani mnona hata hatuioni hapo kafeli alitaka kutumika na kina Bill kisha watuletee chanjo zao kama india walivyopelwka za polio akafie mbele huko hana uzalendo
Wewe unajua zika ni nini?
 
isingekuwa ujinga wake , le mutuz leo angekuwa na cheo kikubwa hapa nchini, kwanza amesoma, pili ana jiba kubwa ,tatu ukimskia anaongea unaweza kujuwa ni mtu mwenye uwezo mkubwa sana ki akili, ila hajachelwa akibadilika hata sasa anaweza kufaidika
Ni maisha aliyochagua kuishi. Tuheshimu choices za watu, hata wewe upo huru kuchagua life style utakayo.

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Nahisi mzee Kati ya aliowatumbua huyu ana m-pain Hadi leo yaani inamuuma sana [emoji848].

Nahisi labda alitaka huyo mama achezee msoto kitaa kwa kukosa kazi ili aje alambe miguu lakini naona huyo mama wa kigogo kakaza so mzee anakuwa frustrated (Kama anavyosemaga Yuko frustrated tumuombee)

Ndio maana Kama sio Mara ya tatu Basi ya nne Sasa still anamuongela akiwa podium ana address

Au Kuna .......maza ka............mzee......[emoji3166](najiwazia tu)

Maana sio kwa kichambo anachopewa huyo mama[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie bado hamjamwelewa Magufuli,.... Rais anamfahamu vizuri sana huyo dada... Hata toka akiwa mdogo..... Anafahamu vizuri babaake ni former PM wa nchi hii, na hata pension ya mzee wake pamoja na ulinzi anapewa..., huyo dada ni type moja na akina nape ambao wamekua chini ya uangalizi wa CCM.... Chama kimehangaika kwa sehemu kubwa na future zao walizo nazo, hata baake ni shaidi.. Hizo nafasi hawakuzipata hivi.... CCM ndio ilikuwa grooming pool kwaajili Yao.

Kinachomshangaza Rais.... Kwann yeye awe sehemu ya wasiotutakia mema ya kiuchumi na aongeze kuwa kikwazo kwa Tanzania kupata mafanikio kutoka nje..... Hawa wasomi unaweza mtetea kumbe yeye anajua alichokifanya..... Isitoshe yeye ni miongoni mwa waliokula matunda mazuri ya nchi hii tangu utoto.... Nchi imemtendea mema mengi..... Na kazi nzuri akapewa.... Hata hivyo miongoni mwa wanafamilia wa huyo mzee sio waadilifu.... Mnakumbuka yule rais aliyemteua kuwa RC SHINYANGA akafukuzwa kazi ndani ya mwezi mmoja kwa kusema hakuna wafanya kazi hewa hapo mkoani kwake?

Unaweza tafakari anaendelea kufurahi tu, na oneshi kama vyombo vya usalama vilimhisi vibaya...... Yaan mtoto wa PM unaotumika afu unakenua meno tu...... Leo ZIKA ulisikia WAPI? Juzi pia anatetea vipimo vibovu vya Corona..... Kwamba Rais hajui..... Kwann asisemwe na kutolewa mfano.... Mtoto wa PM...unatumika....hata mm ningejiuliza sana..... Hapo ndio wanapishana na mh rais
 
Daah "msukuma mmoja" angejua atampaisha kwa kiasi hicho, asingeongea...

Everyday is Saturday......................... 😎
 
isingekuwa ujinga wake , le mutuz leo angekuwa na cheo kikubwa hapa nchini, kwanza amesoma, pili ana jiba kubwa ,tatu ukimskia anaongea unaweza kujuwa ni mtu mwenye uwezo mkubwa sana ki akili, ila hajachelwa akibadilika hata sasa anaweza kufaidika
Siyo kishapita umri wa kustaafu??
Labda apewe uenyekiti bodi ya wastaafu..

Everyday is Saturday.......................... 😎
 
Tofauti ya waliosoma na wasiosoma Tanzania sijui ni nini yani jitu linafurahia followers tweeter!dah ngoja nipalilie kunde zangu
 
Jana baada ya JPM kumchamba binti wa kigogo sio kigogo 2014, Mwelentuli Malecela ndio kwanza kamuongezea umaarufu huko Twitter.

Kwa siku moja tu ya jana followers wake wameongezeka kutoka 40,000 hadi 52,000.

Ombi langu mh. JPM wewe ni mtu mkubwa acha kupoteza muda kuchambana na wanawake.

Ona sasa umemuongezea umaarufu badala ya kumpunguzia.

Wewe ndio huelewi maana ya kumchamba mtu, nakushauri tafuta kamusi uangalie maana ya neno hili (elimu haina mwisho). Rais alibainisha uozo uliofanywa na huyo mtu na hivyo kuweka tahadhali au kuonya watu wasirudie makosa hayo.
 
isingekuwa ujinga wake , le mutuz leo angekuwa na cheo kikubwa hapa nchini, kwanza amesoma, pili ana jiba kubwa ,tatu ukimskia anaongea unaweza kujuwa ni mtu mwenye uwezo mkubwa sana ki akili, ila hajachelwa akibadilika hata sasa anaweza kufaidika
Unaamini kabisa Lemutuz amesoma?

Au ukisikia anasema ana degree 3 unaamini?
 
Back
Top Bottom