Dkt. Mwele Malecela afikisha 50k followers Twitter mara baada ya kuongelewa na Rais Magufuli

isingekuwa ujinga wake , le mutuz leo angekuwa na cheo kikubwa hapa nchini, kwanza amesoma, pili ana jiba kubwa ,tatu ukimskia anaongea unaweza kujuwa ni mtu mwenye uwezo mkubwa sana ki akili, ila hajachelwa akibadilika hata sasa anaweza kufaidika
Huenda hataki/ hapendi vyeo vya kisiasa.
 
Mwambie dokta wa maganda ya korosho maana ndio anaongoza kwa ubishi
 
Duuhh, hii nayo ni mada?? Shangaa Lusako wa Kwanza akifikisha hao
 
Ni aibu sanaa mwanaume mzima kila ukipata podium basi ni kashfa kwa wanawake na vijembe tuu. Hii ni kuonyesha dhahiri kua hajui wajibu wake kwa jamiii anayo dai kutumikia.

Ikiwa anajaza mavisasi hivi kichwani kwake, huo muda wa kutafakari mambo ya msingi ya kitaifa anao kweli! !!.

Asili ya watu Bara sio mashindano na wanawake kamweee, yeye huyu vipi. ?
 
Iko hivi ukitumbuliwa na magu kesho ukapata shavu kwenye mashirika ya kitaifa anachukia sana na atakutaftia platfom aseme ulikuwa unatumika.
Roho mbayaaaaa tuuu. Uzuri ni kua kiujazao moyo wa mtu ndicho kimtokacho
 

Sasa hiyi zica aliyoitangaza iko wapi jamani mnona hata hatuioni hapo kafeli alitaka kutumika na kina Bill kisha watuletee chanjo zao kama india walivyopelwka za polio akafie mbele huko hana uzalendo
 
Hii ni aibu kwa aliyemkashifu
 
Sasa hiyi zica aliyoitangaza iko wapi jamani mnona hata hatuioni hapo kafeli alitaka kutumika na kina Bill kisha watuletee chanjo zao kama india walivyopelwka za polio akafie mbele huko hana uzalendo
Huyo aliyemuweka mtoto wake hazina ili waibe vizuri ndio mzalendo?

Anayemsifia hawara yake hadharani badala ya kusifia madaktari na wauguzi ndio mzalendo?

Anayetumia kodi za wananchi kununua wabunge na madiwani wa upinzani ndio mzalendo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…