Na wewe ndio urudi darasani sasa,ili uelewe utofauti wa Twitter vs Tweeter.Tofauti ya waliosoma na wasiosoma Tanzania sijui ni nini yani jitu linafurahia followers tweeter!dah ngoja nipalilie kunde zangu
Kha!kha!khaaa!!.Alikuwa anatumika na nani? Wivu tu na roho mbaya. Umemtumbua mtu ili kumkomoa matokeo yake UN wanamuajiri.
Hao UN ambao Magufuli anawaita mabeberu kila siku anamtuma Kabudi na Mpango kuwaomba hela.
Tarehe 10 mabeberu wanakaa kutujadili kama watupe hela au wasitupe. Kama Magu jeuri mwambie a-cancel hayo maombi.
Ombi langu mh. JPM wewe ni mtu mkubwa acha kupoteza muda kuchambana na wanawake.
Hao followers wanakuingizia sh ngapi?Mimi nina 1.2 M twitter
Nawe unawahitaji?Hao followers wanakuingizia sh ngapi?
Nauliza tuu niweze kujua.Nawe unawahitaji?
Hapana boss sina hao followers.., Nazingua tu.Nauliza tuu niweze kujua.
Huyo aliyemuweka mtoto wake hazina ili waibe vizuri ndio mzalendo?
Anayemsifia hawara yake hadharani badala ya kusifia madaktari na wauguzi ndio mzalendo?
Anayetumia kodi za wananchi kununua wabunge na madiwani wa upinzani ndio mzalendo?
Wewe unajua zika ni nini?
Kuna faida anapata?Jana baada ya JPM kumchamba binti wa kigogo sio kigogo 2014, Mwelentuli Malecela ndio kwanza kamuongezea umaarufu huko Twitter.
Kwa siku moja tu ya jana followers wake wameongezeka kutoka 40,000 hadi 52,000.
Ombi langu mh. JPM wewe ni mtu mkubwa acha kupoteza muda kuchambana na wanawake.
Ona sasa umemuongezea umaarufu badala ya kumpunguzia.
Akili za mavi ni huyo bwana wenu asiye na aibu anasimama mbele za watu kuchambana na wanawake. Ovyoo sana hili lisukuma!Akili zingine mavi. Mtoa mada umaarufu kwa ajili followers haukulipi konki maarufu na liquid maarufu umaarufu bila pesa hauna faida
Mimi wa kwanza kukataa,,Lemutuz mobimba mandaziUkiambiwa huyu na LeMutuzi Baba mmoja huwezi amini