TANZIA Dkt. Mwele Ntuli Malecela afariki Dunia, aligombea Urais wa JMT 2015

Pole sana Kaka Pasco!
Apumzike kwa amani Dr. Mwele
 
Wakuamkie wakati mtu mwenyewe ulikuwa tayari kumuangamiza mwenzio kwa sababu ya kuwafurahisha watawala madikteta
Mkuu JembeKillo , mimi ni muumini mkubwa wa kitu kinachoitwa karma, ukimuangamiza mwenzio, karma ya maangamizi itakurudia na wewe itakuangamiza. Hivyo kama ni kweli mimi nimemuangamiza mwenzagu, then sibiria kushuhudia maangamizi yangu, na malipo ya karma ni hapa hapa duniani!.
P
 
KB ndio yupi huyo mkuu?
 
Lakini hata huyo mliokua mnamlilia huko Chato alizuia Lissu asifanyiwe maombi nae aliwaza hatakufa?
 
Hivi unaanzaje kufurahia kufa kwa binadamu mwenzako? Una guarantee na Mungu utaishi milele! Hii kasumba mbaya sana sijui tumeirithi kwa nani!!
 
Mzee wako alitolewa tezi dume, ilikuwa na vimelea vya cancer? Sio kila tezi dume ikivimba inakuwa na cancer, lakini kama tezi imeshavimba na ina vimelea vya cancer na mtu akachelewa tiba...chances za surviving ni negligible mkuu.
 
We si spy mzee baba paskali

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ila kwa miaka 30 ya kazi yako yaani toka mwaka 1991 au 1992 Nyerere hakuwa rais maana alistaafu 1985. Labda ulimhoji akiwa amestaafu na hana wadhifa serikalini, vinginevyo unatuongopea tu hapa kutaka ujiko iliuonekane na wewe ni maarufu. Hebu weka rekodi zako vizuri, ulimhoji Baba wa Taifa akiwa na wadhifa gani wakati huo. Halafu ulisema ulikuwa darasa moja nyuma ya marehemu Dr Mwele, mara unasema alipokuwa Tambaza Form Five wewe ikuwa Form Three. Mimi nidhani kama mlikuwa mnapishana darasa moja toka Primary basi wakati yeye akiwa Form Five, wewe ungekuwa Form Four! Najua kweli ulikulia kwa Mzee Kasanga yule wa mikocheni na ulisoma Tambaza na akina Edwin Kasanga, na ukaanza kazi RTD mkiwa mnaishi nyumba moja ya kupanga na Aboubakary Liongo. Mengine hapa unatuchanganya tu maana mimi nakufaamu sanaaa! Ulilelewa kama mtoto yatima na mzee Kasanga wa Mikocheni mkiwa mnaishi na akina Edwin Kasanga, Isaack Kasanga, Dereck Kasanga, Harieth Kassanga na Lucy Kasanga.
 
Utakuwa umesoma na Seche
 
Umemwacha Seche hapo kabla ya Mwendwa na huyo ndio uliuefuatana naye darasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…