Dkt. Mwigulu alizidisha sana nidhamu kwenye hotuba ya Rais

Dkt. Mwigulu alizidisha sana nidhamu kwenye hotuba ya Rais

Yani Mama Samia Rais wa jamhuri ya muungano alipokuwa akihutubia waziri mpya wa fedha na mipango Mwigulu Nchemba mara kwa mara alikuwa akisimama na kuinamisha kichwa na kukaa. Hata wajapani kwa nidhamu hii hawana. Jamaa alizidisha sana. Mara moja tu yatosha. Nidhamu ya uwoga.

images.jpeg
 
Si kweli acheni Kumuandama Mwigulu Nchemba ( Mtani wangu wa Kinyiramba ) kwa Mambo yenu ya Kipuuzi na yaliyojaa Uswahili na Majungu.

Leo hii mnamshangaa kwa Yeye kuwa na Nidhamu hiyo wakati kila Siku tunawaona Wateule wote wakiwa mbele ya Rais na akiwataja tu huwa wanaamka na kufanya kama alivyofanya Nchemba.

Mbona mara kwa mara hata Mawaziri Wengine au hata tu Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama ( hasa IGP Sirro ) mara kwa mara amekuwa akionekana kuwa na Nidhamu hii uliyoiona kwa Nchemba?

Kwanini akina Sirro na hata Waziri Mkuu Majaliwa nae hufanya hivyo huwa hamuwasemi ila uliyemuona pekee tu ni huyu Waziri Nchemba?

Tujifunze kujadili vitu vyenye Tija sana.
 
Yani Mama Samia Rais wa jamhuri ya muungano alipokuwa akihutubia waziri mpya wa fedha na mipango Mwigulu Nchemba mara kwa mara alikuwa akisimama na kuinamisha kichwa na kukaa. Hata wajapani kwa nidhamu hii hawana. Jamaa alizidisha sana. Mara moja tu yatosha. Nidhamu ya uwoga.
Wewe ungefanyaje? Alikuwa anasimama pale wizara yake inapotajwa na pia Rais analosisitiza Nini wizara ifanye.......ungekuwa wewe ungekaa tu au siyo? Acheni hizo bwana?! Maneno mengi vitendo hakuna
 
Hakuna mtu ambaye sio perfect halafu awe na fikra za kimaslahi kwa watu wengi.
Mama mwenyewe juzi kasema baraza la mawaziri hakureflect muungano. Sasa hapo alikuwa perfect kwa lipi?
Kutukana watu wabaki na mavi yao?
Kuita wadogo zetu vilaza?
Kubambikia watu kesi na kuwaibia fedha zao ndo kuwa na maslahi ya wengi?
Kunyang'anya watu hela kwa madai ya kukusanya kodi ndo kuwa na maslahi na wengi?
Bora nikae kimya maana kama sielwi vile.
Kwakweli siwezi kukulazimisha mtazamo wangu ambao ni investment zake zinazowafikiria watu ambao leo ni watoto kesho waone fursa za kujikomboa (long story kuelezea)

At same time naheshimu mtazamo wako kwa sababu hii thread aizungumzii legacy za Magufuli so sina sababu ya kujibizana.

Its all about our varying life perpectives and national development. Siwezi jaji priorities zako what comes first you or society.

Kwangu mimi kajitahidi kwa maslahi ya wengi.
 
Wabongo tuache matusi utamuitaje waziri chawa!!??
hao ni watumishi wa uma kuweni na adabu...
hiyo nafasi unamuita mwenzio chawa huwezi kuipata...wivu tu umewajaa...
mtu anaonyesha heshima mnaponda angekaa bado mngeponda kwamba ana kiburi!!!?
 
Siyo nidhamu wala nini. Alikuwa hategemei kubakizwa hasa ikizingatiwa kuwa hana sifa zifaazo kuvaa viatu vya kaka Mpango. Simpo. Ukiachia hili, tangu Magufuli alipoingia madarakani, ameacha legacy nyingi mojawapo ikiwa ni kuwa na watu wanaojipendekeza na kujigonga kwake ili awasiwaangukie.
Ahahahaha Legacy au siyo
 
Wee mzee tulia ulee wajukuu, pia ujilinde na korona.
Kuwa na wajukuu ni baraka...hapo ulipo Bila Shaka huna mke Wala mtoto...kazi yako ni kukalia majungu tu mitandaoni....na inawezekana huna hata shughuli ya kukuingizia kipato...kuhusu Corona dah...sidhani hata unajua Corona ni nini
 
Yani Mama Samia Rais wa jamhuri ya muungano alipokuwa akihutubia waziri mpya wa fedha na mipango Mwigulu Nchemba mara kwa mara alikuwa akisimama na kuinamisha kichwa na kukaa. Hata wajapani kwa nidhamu hii hawana. Jamaa alizidisha sana. Mara moja tu yatosha. Nidhamu ya uwoga.
Nawewe ulizidisha mno nidhamu ya kumchunga Mwigulu
 
Personal I miss Magufuli he wasn’t perfect lakini alifikiria maslahi ya wengi.

Kila nikikaa nikimkumbuka machozi yanatoka (to think siwezi kumnanga au kumsifia anymore) one of a kind.

Rest in peace shujaa, kazi ya mungu aina makosa.
Duu! Shetani ana watoto wengi!
 
Walizoea kwenye awamu ya mtukufu maana walikuwa wakimsujudu. Mi nafikiri mama apige marufuku huu ukafir. Tunamsujudu Mungu pekee
 
Back
Top Bottom