Dkt. Mwigulu alizidisha sana nidhamu kwenye hotuba ya Rais

Dkt. Mwigulu alizidisha sana nidhamu kwenye hotuba ya Rais

Kwahiyo baba levo arudi darasani maana kuna BIG CHAWA
 
Jamani jamani angefanyaje sasa hata ungekuwa ni wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Personal I miss Magufuli he wasn’t perfect lakini alifikiria maslahi ya wengi.

Kila nikikaa nikimkumbuka machozi yanatoka (to think siwezi kumnanga au kumsifia anymore) one of a kind.

Rest in peace shujaa, kazi ya mungu aina makosa.
He he he heeeeee!! Hebu weka picha yako mkuu tukuone unavyolilia digiteta!
 
Back
Top Bottom