Dkt. Mwigulu alizidisha sana nidhamu kwenye hotuba ya Rais

Ndio maana amepata uteuzi wa wizara ya afya
 
Yani Mama Samia Rais wa jamhuri ya muungano alipokuwa akihutubia waziri mpya wa fedha na mipango Mwigulu Nchemba mara kwa mara alikuwa akisimama na kuinamisha kichwa na kukaa. Hata wajapani kwa nidhamu hii hawana. Jamaa alizidisha sana. Mara moja tu yatosha. Nidhamu ya uwoga.
Hiyo mimi hainihusu sana,it is personal,huwezi kumzuia mtu asifanye analotaka kwa kuonyesha hisia zake.Jambo la msingi zaidi ni output,tunataka Trillioni 2,ili tuweze kuzitumia kuwaletea Watanzania maendeleo.
 
Yani Mama Samia Rais wa jamhuri ya muungano alipokuwa akihutubia waziri mpya wa fedha na mipango Mwigulu Nchemba mara kwa mara alikuwa akisimama na kuinamisha kichwa na kukaa. Hata wajapani kwa nidhamu hii hawana. Jamaa alizidisha sana. Mara moja tu yatosha. Nidhamu ya uwoga.
Watu bana!
 
Ile ndio utaratibu mkuu,

Kiongozi kama yule anapokupa maelekezo unapaswa kuonesha kuyapokea na kutii maagizo yake kwa namna kama ile kwa wanasiasa huko kwenye kada nyingine wenyewe wanafahamu wanavyofanya.
 
Yani Mama Samia Rais wa jamhuri ya muungano alipokuwa akihutubia waziri mpya wa fedha na mipango Mwigulu Nchemba mara kwa mara alikuwa akisimama na kuinamisha kichwa na kukaa. Hata wajapani kwa nidhamu hii hawana. Jamaa alizidisha sana. Mara moja tu yatosha. Nidhamu ya uwoga.

Kwani akiinamisha kichwa hata mara 100 wewe binafsi inakuathiri nini?
Twapenda kuchunguza sana mambo madogo ambayo hayana impact yoyote katika maisha yetu.
Ebo, tusiwe kama mafarisayo, maana wao pia walipenda kufuatilia mambo yasiyo na tija - mapokeo ya wazee.
Mf: mtu alipotoka sokoni au sinagogini lazima anawe mikono hadi kwenye viwiko na kinyume chake mtu alihesabiwa kuwa hajanawa kabisa hata kama kanawa mikono yake!
Acheni hayo mambo yenu.
 
Kijana mbona umeruka kwani umechomwa wapi?
 
Hahamini kuteuliwa.kwani falsafa ya mama Samia RAIS ya kukusanya mapato tofauti anavyoamini Mwigulu anaamini katika kutumia mabavu,kufunga akaunti nk .rais anaamini kutumia akili zaidi na kubuni vyanzo vipya kuongeza wigo wa walipa Kodi.aliwapinga Sana wabunge walipolalamika kuhusu hizo mninu ambazo pia Rais SHH amezikataa
 
Personal I miss Magufuli he wasn’t perfect lakini alifikiria maslahi ya wengi.

Kila nikikaa nikimkumbuka machozi yanatoka (to think siwezi kumnanga au kumsifia anymore) one of a kind.

Rest in peace shujaa, kazi ya mungu aina makosa.
Makovu ni mengi sana!
Mgawanyiko wa kikanda na kikabila ulikuwa mkubwa!
Ubinafsi nao ulikuwa mkubwa sana!
karibu mama Samia tibu makovu na umeanza vyema sana. Mungu anaipenda sana Tz
 
Yani Mama Samia Rais wa jamhuri ya muungano alipokuwa akihutubia waziri mpya wa fedha na mipango Mwigulu Nchemba mara kwa mara alikuwa akisimama na kuinamisha kichwa na kukaa. Hata wajapani kwa nidhamu hii hawana. Jamaa alizidisha sana. Mara moja tu yatosha. Nidhamu ya uwoga.
Unateseka ukiwa wapi?
 
Makovu ni mengi sana!
Mgawanyiko wa kikanda na kikabila ulikuwa mkubwa!
Ubinafsi nao ulikuwa mkubwa sana!
karibu mama Samia tibu makovu na umeanza vyema sana. Mungu anaipenda sana Tz
Hayo matatizo yapo kwenye vichwa vyenu tu but not factual.
 
Back
Top Bottom