captain dunga
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 282
- 634
Safi Sana
Serikali makini haijawahi tokea
Magufuli Ni chaguo la MUNGU
Wachani viroja
Kwa nini watu wasitangaziwe mbna ipo kimya kimya ...watangaze kwamba tuna chanjo yetu IPO poa wananchi tumieniWanayo chanjo ya matone inaitwa covidol unakunywa Kwa kutumia glass. Imethibitishwa na mkemia wa serikali.
Hivi chanjo nyingine zimefanyiwa utafiti wapi kama si nchi za baridi? huu ujinga ujinga ni kwa ajili tu ya kumfurahisha mtu mmojaAkizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Hana lolote.. ni mpuuzi mmoja tu ambaye amesema lakini hakuelimika.Pale mwanasiasa anapojaribu kuingilia suala la kisayansi ili kulinda tu ugali wake.
Kwa hiyo Mwigulu anataka kutuaminisha ya kwamba yeye ana akili kuliko hao scientist?
Na dawa zingine jeAkizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Haha haaa....Kwa nini watu wasitangaziwe mbna ipo kimya kimya ...watangaze kwamba tuna chanjo yetu IPO poa wananchi tumieni
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Si wawaachie wataalamu wa tiba ndo WajadilI hilI suala kulingana na Ujuzi wao? Yani sasa hivi kwasababu mtu ni kiongozi basi anafahamu kila kitu, viongozi wetu wanajidhalilisha sana