Yeees!!Anajua factor zinazo tumika wakati wa majaribio au ana ongea tuu maadam yuko mbele ya kamera?
Kuna mambo mengine wana siasa mnatakiwa kukaa kimya.
By the way hakuna chanjo inayo hifadhiwa kwenye moto. Zote huhifadhiwa kwenye fridge.
unataka ujibiwe kwa wastani?Ipo hoja ndani yake SOUTH AFRIKA KUNA BARIDI AU JOTO?
Tena kwa kutoroka !!!!!Kuna watu walienda kuchanjwa kimyakimya?
Kwani chanjo ya polio inatengenezwa wapiAkizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Mlingotini!Kwani chanjo ya polio inatengenezwa wapi
Udsm!Naona serikali hii imejaa wataalamu wa afya kweli kweli? Mwigulu alisomea wapi udaktari wake?
Hivi unadhania suala la chanjo ni kazi rahisi tu?!!chanjo za mabusha na matende tu zimewashinda sembuse chanjo ya VIRUS?!!Hii nchi kwa sasa hadi meko atoe kauli ndio , wotee wanalalia huko!huwezi jiuliza juzi tu aliposema mambo ya mask, sasa hivi hata kwenye tv, wale wataalam wa njia tiba mbadala wameanza kuonekana tena!!kwani wameshajua kuwa sasa jamaa amekubali kuwa kuna covid19!!hapo mwanzo wote walikuwa wanaogopa!!Hvi NIMRI wanafanya nn au nao wanajifukiza? Kwa nn maghufuli asiifute NIMR na kuwafukuza wote kazi ...mpak sa hv hawajaonyesha effort yyte ya wao nao kutafta chanjo ...wamekaa tu kusikiliza matamko ya Wana siasa
Mafusho na nyungu zote zinahifadhiwa kwenye joto kari 😀Anajua factor zinazo tumika wakati wa majaribio au ana ongea tuu maadam yuko mbele ya kamera?
Kuna mambo mengine wana siasa mnatakiwa kukaa kimya.
By the way hakuna chanjo inayo hifadhiwa kwenye moto. Zote huhifadhiwa kwenye fridge.
Inamaana nchi za baidi kibaiolojia ni tofauti na sisi wa nchi za joto? Na kwa maana hiyo chajo zoote hadi Dawa za Arv ni tofauti?Shida kubwa ya nchi zetu ni pale wanasiasa wanapoamua kujifanya ni wataalam wa kila kitu na kuwapuuza wataalam, huku wataalam nao wakiamua kujitoa ufahamu kulinda ulaji wao.
Mambo mengine ni aibu kabisa kila mtu sasa anajifanya daktari ilimradi apate la kuongea kumuunga mkono JPM.
Unazungumziaje maelezo ya mwanasiasa wa uingereza bwana Boris Johnson wakati anatangaza namna ya kuachana na mambo ya lockdown hiyo jana!? Jisomee hapa chiniMambo mengine ni aibu kabisa kila mtu sasa anajifanya daktari ilimradi apate la kuongea kumuunga mkono JPM.
Wamemtoroka nani? kumbe tuko ndani ya zizi??! Mwigulu alipaswa kujibu hayo maswali"Mwigulu amesema ndio maana watu 'waliotoroka' wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo"
Kwahiyo serikali inawaona wale walioenda kupata chanjo ni 'WALITOROKA'.????
Viongozi wamegeuka kama mashabiki wa mpira wa bongo pale timu yao inapokuwa imefungwa ,kila mtu anageuka kocha..
NCHI NGUMU HII...
Alifanya vizuri maana maisha lazima yaendeleeUnazungumziaje maelezo ya mwanasiasa wa uingereza bwana Boris Johnson wakati anatangaza namna ya kuachana na mqbo ya lock down iyo jana!? Jisomee hapa chini
====
"We cannot persist indefinitely with restrictions that debilitate our economy, our physical and mental well-being, and the life chances of our children." SAYS British Prime minister Boris
There is ‘no credible route to a zero-Covid Britain,’ Boris Johnson says, as he unveils ‘irreversible’ lockdown-lifting plan
UK Prime Minister Boris Johnson on Monday conceded there is “no credible route” for Britain or the world to become completely free of Covid-19, as he announced a plan to gradually lift restrictions across England.www.rt.com
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Kwani Prof Jay siyo doctor?Leo hii mwigulu naye amekua doctor??? Kweli ma CCM ni janga la taifa!
Yeye amezungumzia Corona!Vipi chanjo za ndui, pepopunda, surua na nyingine nyingi kwa watoto, zilifanyiwa utafiti wapi?
Shida ni kuwa wataalamu wamekaa kimya au wameamua kuacha taaluma zao na kuitikia wimbo ulioanzishwa na wanasiasa kwani wanasiasa ndio wenye fuko la feza. Haiingii akilini daktari mbobevu kama profrsa anadai chanjo haijafanyiwa utafiti wa kutosha wakati huo huo anashadidia dawa ya kienyeji iliyofanyiwa utafiti mwituni - mwituni kwa sababu taratibu za kuipitisha dawa kuwa inatibu lazima ziwe shirikishi kwa wataalamu wa dunia - WHO.Haya mambo ya Corona yasimamiwe na wataalamu wa afya, siyo kila mtu awe msemaji wa Corona. Ni jambo la hovyo sana hata kumuona Bill Gate akizungumzia mambo ya gonjwa hili la Corona na chanjo yake.
Tuliambiwa katika siku za mwisho ni kutoweka kwa amana, na amana inaondoka pindi jambo linaposimamiwa na mtu asiyekuwa mbobezi wa jambo hilo hivyo tusubiri kiyama.
Tatizo ni kutetea msimamo uliopo bila scientic facts. Ndo maana mtoto akiumwa degedege wengine watasema ni jini, na jini halipimwi kwenye maabara.Haya mambo ya Corona yasimamiwe na wataalamu wa afya, siyo kila mtu awe msemaji wa Corona. Ni jambo la hovyo sana hata kumuona Bill Gate akizungumzia mambo ya gonjwa hili la Corona na chanjo yake.
Tuliambiwa katika siku za mwisho ni kutoweka kwa amana, na amana inaondoka pindi jambo linaposimamiwa na mtu asiyekuwa mbobezi wa jambo hilo hivyo tusubiri kiyama.