Dkt. Mwigulu: Chanjo za Corona zimefanyiwa utafiti nchi za baridi zitawafaaje watu wa Dar es Salaam?

Dkt. Mwigulu: Chanjo za Corona zimefanyiwa utafiti nchi za baridi zitawafaaje watu wa Dar es Salaam?

Unajuaje kama yeye kapewa taarifa na madakitari ndo maana kaongea, au ndio mnaitwa wa kukurupuka?

Mnalaumu bila kutumia akili zenu.
Nyie mnatangaza watu wamekufa na korona sasa hiyo taarifa huwa mnatoa nyie ni madakitari?
**** na wewe una assume? Nilidhani labda una uhakika
 
sasa mbona sehemu za baridi ndio wanaongoza kufa kwa Corona kuliko sehemu za joto?
Ndiyo sababu majaribio ya chanjo yameanzia huko, endapo majaribio hayo yatafanikiwa basi huku kwenye joto virus vitaondolewa kwa urahisi kama kumsukuma mlevi!
 
Walete makete basi nchi ya baridi ndani ya Tz
 
Unajuaje kama yeye kapewa taarifa na madakitari ndo maana kaongea, au ndio mnaitwa wa kukurupuka?

Mnalaumu bila kutumia akili zenu.
Nyie mnatangaza watu wamekufa na korona sasa hiyo taarifa huwa mnatoa nyie ni madakitari?
Kwani Mwigulu ni msemaji wa serikali, mbona unatoa povu kama kichaa!
 
Kama vipi watuletee Chanjo hizo sisi wa Makete. Kwa nini mnachukulia Tanzania ni Dar tuu?
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
Nadhani sio sahihi.

Nadhani sio sahihi. Hizi chanjo uazijatengenezwa kwaajili ya watu wanaoishi maeneo ya baridi tuu, bali zinatakiwa kuhifadhiwa ktk hali ya ubaridi. Hivyo kama tunaweza kuzihifadhi ktk hali ya ubaridi unaotakiwa hakuna tatizo.

Pi twapaswa kujiuliza mbona chanjo nyingine zilizotengenezwa hukohuko hatujawahi kuhoji matumizi yake ktk nchi yetu?

Kuhusu wanaopata matatizo baada ya kwenda kupata chanjo nje, je kuna ukweli? Matatizo gani?
Hili ingefaa liwekwe wazi vizuri kama lina ukweli ili tuweze kuwa na uhakika.

Watu wanashuhudia ndugu wanaugua wanakufa- lazima watu wahagaike kwa kila njia, ikiwepo kutafuta chanjo nje ya nchi kwa wenye uwezo. Tanzania tunaskia mara corona hakuna, mara chukueni tahadhari, vipimo havifanywi hivvyo hatuna takwimu, sasa watu lazima wahangaike.
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto. Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo. Chanzo: Clouds 360 Maendeleo hayana vyama!
Huyu naye kadanganywa, huko penyewe chanjo haitoshi ndio maana wanaanza na watu muhimu kwanza tena wananchi wao. Sasa watajuaje ubora wa chanjo bila jaribisha kwetu nchi za joto?
Sasa huyu naye ni Ph D holder wa mataahira. Ni chanjo gani kati ya zile zinazotumika hapa Tanzania zilijaribiwa hapa? Simshangai Sana kwani alishaapa bungeni kuwa ana ushahidi wa kuaminika dhidi ya Alfred Lwakatare na atautoa hata duniani na mbinguni tena mbele ya bunge. Na hatimaye mahakama ikaitupilia mbali hiyo kesi kwa kukosekana kwa ushahidi ili hali Huyu Tutusa Mwigulu akiwa yupo na ushahidi duniani na mbinguni
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
Nani alimpa PhD huyu jamaa? There is something wrong somewhere!
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
Bahati mbaya waliovalia njuga na kutoa matamko ya CORONA ni madaktari wa uchumi, sheria na walimu.

Wako wapi madaktari wa binaadamu na wanyama? Mbio za waziri Gwajima zimeishia wapi?

Mkate alioutaka Dkt Mwigulu kashaupata, toka kufukuzwa uwaziri 2015/2020 mpaka kurudishiwa cheo hicho ni hatua kubwa. Kinachoendelea ni kuupalilia mkate wake.

Dkt Hamisi Kingwangwala anahitaji akachukue kozi kwa Dkt wa uchumi Mwigulu ili atoke kwenye benchi.
 
Hata mbegu za kiume hutunzwa kwenye baridi kali (-196c)kwa muda mrefu na zinapohitajika hurudishwa kwenye joto la kawaida na kutumika. Suala la hali ya hewa ni irrelevant. Mwigulu anadhani chanjo/dawa inaingizwa mwilini ikiwa kwenye baridi kali?? Shameful
 
Back
Top Bottom