Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Umetetea ujinga tupu...!! Kazi Yao ni nini ,? Kwa hyo wapo pale kusubir kauli ya Raisi , acheni exaggeration kwenye vtu vya msingi....kwamba Raisi alikuwa amekataa aisee....Hivi unadhania suala la chanjo ni kazi rahisi tu?!!chanjo za mabusha na matende tu zimewashinda sembuse chanjo ya VIRUS?!!Hii nchi kwa sasa hadi meko atoe kauli ndio , wotee wanalalia huko!huwezi jiuliza juzi tu aliposema mambo ya mask, sasa hivi hata kwenye tv, wale wataalam wa njia tiba mbadala wameanza kuonekana tena!!kwani wameshajua kuwa sasa jamaa amekubali kuwa kuna covid19!!hapo mwanzo wote walikuwa wanaogopa!!