EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
unauliza majibu,Marekani yote ni baridi? Japan je? China je? Iran jee Israel je? huko pia ni baridi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unauliza majibu,Marekani yote ni baridi? Japan je? China je? Iran jee Israel je? huko pia ni baridi?
na huyu ni PHD holder ? wa uchumi? anahoji wataalamu wa virology walioingia lab wakavimba mpaka wakapa chanjo.Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
ile sio chanjo. tafuta maana ya chanjo uelewe kwanza.Wanayo chanjo ya matone inaitwa covidol unakunywa Kwa kutumia glass. Imethibitishwa na mkemia wa serikali.
kuna shida kwenye elimu yetu. haswa high institution. wasiwe warahis kutoa hizi PHD. ona mazao yanatopatikana. hopless kabisaKwa hiyi hata huyu mwuigulu nae kawa Dr?
Kweli nchi hii tunakoelekea ni kubaya sana,
sorry zilifanyiwa tafiti europe before kuwa deployed.Mbona ARV hazikufanyiwa utafiti tangu zimeingia 2004 na zimewasaidia wengi kuendelea na maisha kama kawaida?
Kesi ya South Africa sio baridi bali ni utofauti wa aina ya virusi walivyo navyo na ndipo walipohitaji enhensiment ya chanjo inayoweza kukabiliana na aina ya virusi walivyo navyo.Ipo hoja ndani yake SOUTH AFRIKA KUNA BARIDI AU JOTO?
Umekurupuka mwenyewe sijui hata kama chupi ulivaaNchi za baridi lakini binadam ni yule yule body temp ni 37°C
Kwani ni dawa gani hazijaanzia kwenye nchi za baridi, tuache ujuaji
Amecite hata mtu mmoja wa Dar aliyechanjwa na chanjo ikamletea matatizo?? Udocta mwingine magumashi Wallah!!!Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Huyu ni mpuuzi kabisa,kwani Tx,ni dar tu,Mafinga,Njombe,Arusha,Iringa kwenye baridi sio Tanzania?chanjo zote wanazopewa watoto chini ya miaka 5,zinatoka ulaya kwenye baridi,mbona tunazitumia,na zinasaidia?Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Daah huyo jamaa kaongea kama vile sio msomi aisee yaani ukiwa unasomesha inaumiza kuona waliosoma wapo hivyo...
Jinga hili Linyiramba, limwombe tu Mungu lisiugue CoronaAkizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Sisi wa Makambako mnatusaidiaje???Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.
Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.
Chanzo: Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Naona aibu sana kauli za huyu mnyambi!Mtaalam wa mambo ya uchumi
Kumbe naye mtaalam wa mambo ya afya
Ova