Dkt. Mwigulu: Chanjo za Corona zimefanyiwa utafiti nchi za baridi zitawafaaje watu wa Dar es Salaam?

Daah huyo jamaa kaongea kama vile sio msomi aisee yaani ukiwa unasomesha inaumiza kuona waliosoma wapo hivyo...
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
na huyu ni PHD holder ? wa uchumi? anahoji wataalamu wa virology walioingia lab wakavimba mpaka wakapa chanjo.
anajikuta yeye ni mtaalam kuliko wataalam wenyewe .shit
 
Wanayo chanjo ya matone inaitwa covidol unakunywa Kwa kutumia glass. Imethibitishwa na mkemia wa serikali.
ile sio chanjo. tafuta maana ya chanjo uelewe kwanza.
ile ni kama dawa ya kifua tu, inadhibiti dalili tu. lakin si kwamba huwez kupata corona tena
 
Ni kweli alichosema...

Ila akumbuke hata dawa za Malaria na ukimwi zilifanyiwa majaribo kwenye nchi za baridi...

Cha kusema tu ni kwamba hizo chanjo hazitufai basi...
 
Wanasayansi wa Tiba wamejifungia kutafuta chanjo ya corona alafu anakuja mtwanasiasa mmoja .bila hata tafiti yoyote anakuja kutoa hoja dhaifu Kama hii eee Mungu tusaidie tuweze kuvuka salama kwenye janga hilil hatari maana hawa wanasiasa wanataka kutuua bila sababu
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
Amecite hata mtu mmoja wa Dar aliyechanjwa na chanjo ikamletea matatizo?? Udocta mwingine magumashi Wallah!!!
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
Huyu ni mpuuzi kabisa,kwani Tx,ni dar tu,Mafinga,Njombe,Arusha,Iringa kwenye baridi sio Tanzania?chanjo zote wanazopewa watoto chini ya miaka 5,zinatoka ulaya kwenye baridi,mbona tunazitumia,na zinasaidia?

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
Jinga hili Linyiramba, limwombe tu Mungu lisiugue Corona
 
Eti ana PhD alafu anaongea upuuzi kama huu dah! Alafu ni waziri huyu jamani Tz hatuna viongozi kabisa bali wachumia tumbo tu

Chanjo za polio, surua, haepatitis n.k zimetengenezwa katika nchi hizo hizo zenye baridi mbona zinafanya kazi kama kawaida
 
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto.

Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea matatizo.

Chanzo: Clouds 360

Maendeleo hayana vyama!
Sisi wa Makambako mnatusaidiaje???
 
Back
Top Bottom