Dkt. Mwigulu, inakuwaje mnatuambia Miradi ya Hayati Dkt. Magufuli inaendeshwa kwa mikopo mikubwa na migumu kuhimilika?

Acha kudanganya watu lini, serikali ilikusanya 1.9? Makadiilio yalikuwa yanakwenda 1.6-1.9 lakini makusanyo halisi yalikuwa kwenye 73%tu, na hiyo mikopo itatuumiza sana miaka mingi, kwani huwezi ukajenga miradi mikubwa hivyo kwa kwenda kukopa kwenye ma bank ya kibiashara ambayo utaanza kulipa riba miezi sita tu toka umekopa, wakati miradi hiyo hadi ianze kujiendesha ni miaka mingi wakati kuna mikopo ambayo nchi itaanza kuilipa baada ya miaka 20!??
 
Kodi ya Railway Levy haitoshi au kazi yake nini??
 
mimi naona mtu huchagua cha kuamini kama Magufuli alidanganya kinachokufanya umuamini Mwigulu kuwa ni mkweli ni hasa kwa kuwa sioni kipya zaidi ya mzigo wa kodi juu ya kodi tu sasa rasilimali tulizonaz humfaidisha nani? sisi ni wafuata upepo tu
 
Yaani hawa watu ni wa ajabu sana! Wao hawalipi kodi yeyote. Vocha wananunuliwa na umeme wananunuliwa sisi ndiyo tulipie hiyo miradi! Si walisema hela wanazo? Zimeenda wapi? Wapinzani walisema mnasema mabeberu sasa nani mabeberu hapa?
 
Acha mawazo mgando wewe, kwa hiyo unaona 2030 ni mbali sana? SGR na Bwawa la umeme Rufiji ni miradi muhimu sana itakayoboost uchumi wa nchi.
Hata kwenye gesi tuliambiwa uongo unaozidi huu. Muda ulipofika mkaumbuka
 
Wakubwa huwa hawasemi uongo bali huwa wanateleza [emoji1787] "ukikua utajua kuwa hata wachawi huwa wanafiwa"
 
Yaa kwa vipande vyote,Magu ni kimeo sana bora hizi pesa ambazo tayari zimewekwa kwenye sgr ambayo inaweza kukamilika 2030 zingewekwa kwenye barabara tungeshafika mbali sana
Kwa akili Kama hizi kweli Kama taifa tuna safari ndefu Sana Bora ungekaa kimya ndugu yangu sio kila kitu Ni Cha kukosoa.
 
Ipigwe Harambee ya wazi itakayowashirikisha wenzetu waliounga mkono juhudi, wabunge, wazalendo wa Twitter na makundi kama hayo. Watakapoishia waliobaki watazajazia
Hao wazalendo wa Twitter wakichangia hata mil 100 unitag mkuu.
 
Acha siasa wewe hata kama ni ushabiki usijiondolee ufahamu! Hata aibu huoni?
 
Reactions: BAK
Tulisema humu kwamba dhalimu mwendazake ni janga kubwa la Taifa. Tukaambiwa hatuna uzalendo, tunatumika na BEBERUS, wachochezi blah blah! Sasa ukweli wa maneno yetu UMETHIBITIKA.
 
hawa wameamua kutafuta kichaka cha kutukamulia, sidhani kama hata angekuepo mwendazake wangekuja na hii ajenda mfu.

Lkn kwa Mwendazake Matajiri wangekiona na kesi za ajabu ajabu zingekuwa nyingi tu hasa za uhujumu uchumi

At least hawa wameamua kuwa wawazi ‘mbesa’ hakuna na miradi iliishaanza kwahiyo tujikamue tu wenyewe kumalizia

Hapa ndo kina Sabaya walikuwa nao wanapigia na pesa zao maana mkuu alikuwa kama ana lazimisha ili mambo yaende kwa ku deal na hasa private sector
 
tulitutiwa hasara huku yeye anatafuta sifa
 
Tutamkumbuka Daima Hayati Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…