Bunsen Burner
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 909
- 1,101
Yaani kwanza bunge lenyewe, lifanywe ' virtual' tu kupunguza gharama za maposho ya kila siku kwa wabunge, kila mbunge akae kwenye jimboni kwake, na wachangie atakachoona kutokea ofisini kwake.... nafikiri tutasevu pesa nyingi.. kazi iendelee.
ISio kupunguza tu posho wazifutilie mbali tu mana bado wana mishahara minono halafu kuna watumishi wana mishahara kiduchu na posho hawana.