Hapana yeye katoa sababu wewe umeenda kwa kumwita ni mpinzani. Una uhakika wanaokosoa wote humu ni wapinzani?Sasa kuna hoja gani ya msingi hapo ya kujadiliwa, zaidi ya ramli za kijinga?
Huyo anaetaka Mwigulu atumbuliwe ukute hata cheti cha form four hana,furaha yake ni kuona watu wengine wanalia maisha magumu kama yeye.
Mfano msukuma wa geita ungempa wizara gani, kule hakuna na hawatoshi ndio maana bingwa alikuwa anasajili kwa mkopo
Mimi sio mgeni humu,chata za kambi ya upinzani nazijua vizuri kuliko hata unavyofikiria mkuu.Hapana yeye katoa sababu wewe umeenda kwa kumwita ni mpinzani. Una uhakika wanaokosoa wote humu ni wapinzani?
Nimejaribu kuangalia pamoja na teuzi nzuri za Mama yetu Mpendwa Rais Samia Suluhu, lakini kwenye wizara nyeti hii ya fedha haijapata watu sahihi. Ndugu yangu Dkt Mwigulu Nchemba ni msomi lakini siye anayetumia usomi wake katika kuchanganua mambo ya kiuchumi na biashara anazidiwa na Zitto Kabwe au Silinde. Hakika hii wizara haihitaji mwanasiasa typical, inahitaji mtu aliyetulia, asiyekua mjanja mjanja, asiye na Visasi,asiye na roho ya kuwazika kila wakati. Mwigulu na Hamad Msauni wote wanauwaza urais 2025, Concentration ya uwaziri itatoka wapi?
Mama kama hajamtimua au kubadilishia Mwigulu wizara ndani ya miezi 6 au mwaka mmoja basi tutarudi kuja kuambizana humu ndani ya mwaka mmoja. Ndugu yetu kutawala hisia zake ni mgumu sana halafu reactions zake nyingi hata mitandaoni zinajulikana.
Mwigulu hamfikii Dkt Philipo Mpango hata 1%. Hii wizara kiukweli haijapata mtu sahihi. Mama majibu utayapata kupitia Makamu wako na muda utaongea.
Anyway, Sina chuki binafsi na ndugu yangu Mwigulu Nchemba lakini kila ninapoyatazama maslahi mapana ya taifa langu naona ni bora kuusema ukweli. Mambo mengine ni hulka hata kubadilika ni ngumu ilitakiwa apewe wizara ya Vijana na mambo ya bunge.
Kwa huo ni mtego wakumwondoa ndugu yangu yaani mwanasiasa za msimamo mkali.Nimejaribu kuangalia pamoja na teuzi nzuri za Mama yetu Mpendwa Rais Samia Suluhu, lakini kwenye wizara nyeti hii ya fedha haijapata watu sahihi. Ndugu yangu Dkt Mwigulu Nchemba ni msomi lakini siye anayetumia usomi wake katika kuchanganua mambo ya kiuchumi na biashara anazidiwa na Zitto Kabwe au Silinde. Hakika hii wizara haihitaji mwanasiasa typical, inahitaji mtu aliyetulia, asiyekua mjanja mjanja, asiye na Visasi,asiye na roho ya kuwazika kila wakati. Mwigulu na Hamad Msauni wote wanauwaza urais 2025, Concentration ya uwaziri itatoka wapi?
Mama kama hajamtimua au kubadilishia Mwigulu wizara ndani ya miezi 6 au mwaka mmoja basi tutarudi kuja kuambizana humu ndani ya mwaka mmoja. Ndugu yetu kutawala hisia zake ni mgumu sana halafu reactions zake nyingi hata mitandaoni zinajulikana.
Mwigulu hamfikii Dkt Philipo Mpango hata 1%. Hii wizara kiukweli haijapata mtu sahihi. Mama majibu utayapata kupitia Makamu wako na muda utaongea.
Anyway, Sina chuki binafsi na ndugu yangu Mwigulu Nchemba lakini kila ninapoyatazama maslahi mapana ya taifa langu naona ni bora kuusema ukweli. Mambo mengine ni hulka hata kubadilika ni ngumu ilitakiwa apewe wizara ya Vijana na mambo ya bunge.
Mwigu ni bingwa wa mitishamba lakini atadondoka tu muda mfupi ujao.Nimejaribu kuangalia pamoja na teuzi nzuri za Mama yetu Mpendwa Rais Samia Suluhu, lakini kwenye wizara nyeti hii ya fedha haijapata watu sahihi. Ndugu yangu Dkt Mwigulu Nchemba ni msomi lakini siye anayetumia usomi wake katika kuchanganua mambo ya kiuchumi na biashara anazidiwa na Zitto Kabwe au Silinde. Hakika hii wizara haihitaji mwanasiasa typical, inahitaji mtu aliyetulia, asiyekua mjanja mjanja, asiye na Visasi,asiye na roho ya kuwazika kila wakati. Mwigulu na Hamad Msauni wote wanauwaza urais 2025, Concentration ya uwaziri itatoka wapi?
Mama kama hajamtimua au kubadilishia Mwigulu wizara ndani ya miezi 6 au mwaka mmoja basi tutarudi kuja kuambizana humu ndani ya mwaka mmoja. Ndugu yetu kutawala hisia zake ni mgumu sana halafu reactions zake nyingi hata mitandaoni zinajulikana.
Mwigulu hamfikii Dkt Philipo Mpango hata 1%. Hii wizara kiukweli haijapata mtu sahihi. Mama majibu utayapata kupitia Makamu wako na muda utaongea.
Anyway, Sina chuki binafsi na ndugu yangu Mwigulu Nchemba lakini kila ninapoyatazama maslahi mapana ya taifa langu naona ni bora kuusema ukweli. Mambo mengine ni hulka hata kubadilika ni ngumu ilitakiwa apewe wizara ya Vijana na mambo ya bunge.
Naunga mkono hoja!
Lakini kudumu kwa Mwigulu katika sekta hii ni wazi kabsa CV yake ya kuchukua Nchi 2025 itakuwa kubwa sana.
Sikujuaga aisee haya majamaa majizi sanaMkuu kumbe ni ya kwake? Spandi Tena. Simpendi Kama nyoka
Nimejaribu kuangalia pamoja na teuzi nzuri za Mama yetu Mpendwa Rais Samia Suluhu, lakini kwenye wizara nyeti hii ya fedha haijapata watu sahihi. Ndugu yangu Dkt Mwigulu Nchemba ni msomi lakini siye anayetumia usomi wake katika kuchanganua mambo ya kiuchumi na biashara anazidiwa na Zitto Kabwe au Silinde. Hakika hii wizara haihitaji mwanasiasa typical, inahitaji mtu aliyetulia, asiyekua mjanja mjanja, asiye na Visasi,asiye na roho ya kuwazika kila wakati. Mwigulu na Hamad Msauni wote wanauwaza urais 2025, Concentration ya uwaziri itatoka wapi?
Mama kama hajamtimua au kubadilishia Mwigulu wizara ndani ya miezi 6 au mwaka mmoja basi tutarudi kuja kuambizana humu ndani ya mwaka mmoja. Ndugu yetu kutawala hisia zake ni mgumu sana halafu reactions zake nyingi hata mitandaoni zinajulikana.
Mwigulu hamfikii Dkt Philipo Mpango hata 1%. Hii wizara kiukweli haijapata mtu sahihi. Mama majibu utayapata kupitia Makamu wako na muda utaongea.
Anyway, Sina chuki binafsi na ndugu yangu Mwigulu Nchemba lakini kila ninapoyatazama maslahi mapana ya taifa langu naona ni bora kuusema ukweli. Mambo mengine ni hulka hata kubadilika ni ngumu ilitakiwa apewe wizara ya Vijana na mambo ya bunge.
Kiongozi yoyote akimweka Mwigulu kwenye jambo lolote basi huyo anakuwa amefeli moja kwa mojaNimejaribu kuangalia pamoja na teuzi nzuri za Mama yetu Mpendwa Rais Samia Suluhu, lakini kwenye wizara nyeti hii ya fedha haijapata watu sahihi. Ndugu yangu Dkt Mwigulu Nchemba ni msomi lakini siye anayetumia usomi wake katika kuchanganua mambo ya kiuchumi na biashara anazidiwa na Zitto Kabwe au Silinde. Hakika hii wizara haihitaji mwanasiasa typical, inahitaji mtu aliyetulia, asiyekua mjanja mjanja, asiye na Visasi,asiye na roho ya kuwazika kila wakati. Mwigulu na Hamad Msauni wote wanauwaza urais 2025, Concentration ya uwaziri itatoka wapi?
Mama kama hajamtimua au kubadilishia Mwigulu wizara ndani ya miezi 6 au mwaka mmoja basi tutarudi kuja kuambizana humu ndani ya mwaka mmoja. Ndugu yetu kutawala hisia zake ni mgumu sana halafu reactions zake nyingi hata mitandaoni zinajulikana.
Mwigulu hamfikii Dkt Philipo Mpango hata 1%. Hii wizara kiukweli haijapata mtu sahihi. Mama majibu utayapata kupitia Makamu wako na muda utaongea.
Anyway, Sina chuki binafsi na ndugu yangu Mwigulu Nchemba lakini kila ninapoyatazama maslahi mapana ya taifa langu naona ni bora kuusema ukweli. Mambo mengine ni hulka hata kubadilika ni ngumu ilitakiwa apewe wizara ya Vijana na mambo ya bunge.
Cheti chako cha F4 kimeisaidia nini nchi? sisi hatutaki vyeti tunataka watu wa kutendaSasa kuna hoja gani ya msingi hapo ya kujadiliwa, zaidi ya ramli za kijinga?
Huyo anaetaka Mwigulu atumbuliwe ukute hata cheti cha form four hana,furaha yake ni kuona watu wengine wanalia maisha magumu kama yeye.
Nyinyi ni nyumbu,hivyo silaumu juu ya swala la kujisahaulisha mambo.Sio nyinyi mlioshupaza shingu juu ya Elimu ya makonda? Sio nyinyi mnaoropoka na kuhoji juu ya Elimu ya baadhi ya wabunge wa CCM? Na hata tulipokuja na hoja ya kuzingatia utendaji badala ya kiwango cha elimu, bado mliendela kubweka. Leo unakuja hoja gani tena?Cheti chako cha F4 kimeisaidia nini nchi? sisi hatutaki vyeti tunataka watu wa kutenda
Si rahisi kujua nani yuko upande upi au nani kabadilisha gia angani.Mimi sio mgeni humu,chata za kambi ya upinzani nazijua vizuri kuliko hata unavyofikiria mkuu.