Dkt Mwigulu Madelu Nchemba nampa mwaka mmoja tu kama hajahamishwa au kutumbuliwa Wizara ya fedha na uchumi

Sasa kuna hoja gani ya msingi hapo ya kujadiliwa, zaidi ya ramli za kijinga?

Huyo anaetaka Mwigulu atumbuliwe ukute hata cheti cha form four hana,furaha yake ni kuona watu wengine wanalia maisha magumu kama yeye.
Hapana yeye katoa sababu wewe umeenda kwa kumwita ni mpinzani. Una uhakika wanaokosoa wote humu ni wapinzani?
 
Nimejaribu kuangalia pamoja na teuzi nzuri za Mama yetu Mpendwa Rais Samia Suluhu, lakini kwenye wizara nyeti hii ya fedha haijapata watu sahihi. Ndugu yangu Dkt Mwigulu Nchemba ni msomi lakini siye anayetumia usomi wake katika kuchanganua mambo ya kiuchumi na biashara anazidiwa na Zitto Kabwe au Silinde. Hakika hii wizara haihitaji mwanasiasa typical, inahitaji mtu aliyetulia, asiyekua mjanja mjanja, asiye na Visasi,asiye na roho ya kuwazika kila wakati. Mwigulu na Hamad Msauni wote wanauwaza urais 2025, Concentration ya uwaziri itatoka wapi?

Mama kama hajamtimua au kubadilishia Mwigulu wizara ndani ya miezi 6 au mwaka mmoja basi tutarudi kuja kuambizana humu ndani ya mwaka mmoja. Ndugu yetu kutawala hisia zake ni mgumu sana halafu reactions zake nyingi hata mitandaoni zinajulikana.

Mwigulu hamfikii Dkt Philipo Mpango hata 1%. Hii wizara kiukweli haijapata mtu sahihi. Mama majibu utayapata kupitia Makamu wako na muda utaongea.

Anyway, Sina chuki binafsi na ndugu yangu Mwigulu Nchemba lakini kila ninapoyatazama maslahi mapana ya taifa langu naona ni bora kuusema ukweli. Mambo mengine ni hulka hata kubadilika ni ngumu ilitakiwa apewe wizara ya Vijana na mambo ya bunge.

Mkuu unamjua binafsi. Vipi na wewe hulka yako ikoje. Umeshawahi kuiba. Je ni mwanaCCM. Au chama cha upinzani. Unahisi Rais hajafikiria sana. We ni msomi au mtabiri wa nyota. Tueleze kwa kifupi kuhusu wewe.
 
Kushindana na mwigulu ni sawa na kupiga ukuta wa tofali kwa ngumi, utaumia mwenyewe
 
Nimejaribu kuangalia pamoja na teuzi nzuri za Mama yetu Mpendwa Rais Samia Suluhu, lakini kwenye wizara nyeti hii ya fedha haijapata watu sahihi. Ndugu yangu Dkt Mwigulu Nchemba ni msomi lakini siye anayetumia usomi wake katika kuchanganua mambo ya kiuchumi na biashara anazidiwa na Zitto Kabwe au Silinde. Hakika hii wizara haihitaji mwanasiasa typical, inahitaji mtu aliyetulia, asiyekua mjanja mjanja, asiye na Visasi,asiye na roho ya kuwazika kila wakati. Mwigulu na Hamad Msauni wote wanauwaza urais 2025, Concentration ya uwaziri itatoka wapi?

Mama kama hajamtimua au kubadilishia Mwigulu wizara ndani ya miezi 6 au mwaka mmoja basi tutarudi kuja kuambizana humu ndani ya mwaka mmoja. Ndugu yetu kutawala hisia zake ni mgumu sana halafu reactions zake nyingi hata mitandaoni zinajulikana.

Mwigulu hamfikii Dkt Philipo Mpango hata 1%. Hii wizara kiukweli haijapata mtu sahihi. Mama majibu utayapata kupitia Makamu wako na muda utaongea.

Anyway, Sina chuki binafsi na ndugu yangu Mwigulu Nchemba lakini kila ninapoyatazama maslahi mapana ya taifa langu naona ni bora kuusema ukweli. Mambo mengine ni hulka hata kubadilika ni ngumu ilitakiwa apewe wizara ya Vijana na mambo ya bunge.
Kwa huo ni mtego wakumwondoa ndugu yangu yaani mwanasiasa za msimamo mkali.
Afanyekazi itamjenga zaidi
 
Mwigulu awezi muangusha Rais,atachapa kazi vema zaidi ukizingatia ana ndoto za kuwa namba 1.
 
Nimejaribu kuangalia pamoja na teuzi nzuri za Mama yetu Mpendwa Rais Samia Suluhu, lakini kwenye wizara nyeti hii ya fedha haijapata watu sahihi. Ndugu yangu Dkt Mwigulu Nchemba ni msomi lakini siye anayetumia usomi wake katika kuchanganua mambo ya kiuchumi na biashara anazidiwa na Zitto Kabwe au Silinde. Hakika hii wizara haihitaji mwanasiasa typical, inahitaji mtu aliyetulia, asiyekua mjanja mjanja, asiye na Visasi,asiye na roho ya kuwazika kila wakati. Mwigulu na Hamad Msauni wote wanauwaza urais 2025, Concentration ya uwaziri itatoka wapi?

Mama kama hajamtimua au kubadilishia Mwigulu wizara ndani ya miezi 6 au mwaka mmoja basi tutarudi kuja kuambizana humu ndani ya mwaka mmoja. Ndugu yetu kutawala hisia zake ni mgumu sana halafu reactions zake nyingi hata mitandaoni zinajulikana.

Mwigulu hamfikii Dkt Philipo Mpango hata 1%. Hii wizara kiukweli haijapata mtu sahihi. Mama majibu utayapata kupitia Makamu wako na muda utaongea.

Anyway, Sina chuki binafsi na ndugu yangu Mwigulu Nchemba lakini kila ninapoyatazama maslahi mapana ya taifa langu naona ni bora kuusema ukweli. Mambo mengine ni hulka hata kubadilika ni ngumu ilitakiwa apewe wizara ya Vijana na mambo ya bunge.
Mwigu ni bingwa wa mitishamba lakini atadondoka tu muda mfupi ujao.
 
Simkubali Nchemba kutokana tu Yeye ni Yanga SC na Mimi ni Simba SC nikimaanisha Mtani wangu katika Medani ya Soka. Na hata katika Siasa pia kuna muda huwa ananikera ila huwa sijali sana kwakuwa najua kutofautiana Kifikra ni Afya njema ya Akili ( Ubongo )

Ila Upinzani wangu huu na Yeye haunizuii Mimi leo kusema kuwa kama kuna Wizara ambayo baada ya Kuondoka Dkt. Mpango imempata Mtu sahihi ambaye ni Mwigulu Nchemba basi ni hii ya Fedha.

Kwa Elimu yake Kubwa, Ubobezi wake na Uzoefu wa Kufanya Kazi katika Sekta za Uchumi na hata Benki Kuu ( BOT ) miaka ya nyuma ( Kipindi cha Rais Kikwete ) sina Shaka nae na najua ataweza na kufanya makubwa ya Kusaidia nchi Kiuchumi na Kimapato pia.

Najua Mtani wangu Mwigulu Nchemba kama Mwanadamu ana Mapungufu yake ila Kikubwa tumuombee, tumtie Moyo na tuacheni kila mara tu Kumsakama hata kwa Hoja zingine za Kipuuzi ( hovyo hovyo ) tu.

Ila Mtani wangu Mwigulu Nchemba usianze sasa kuwa unatoa Hela Serikalini hapo na kuwapelekea Washamba Wenzako Yanga SC pale Jangwani kwani sitoacha Kukusiliba ( Kukukosoa ) hapa hapa JF kama kawaida yangu.

Sina Hofu nawe najua 100% utaweza tu.
 
Nimejaribu kuangalia pamoja na teuzi nzuri za Mama yetu Mpendwa Rais Samia Suluhu, lakini kwenye wizara nyeti hii ya fedha haijapata watu sahihi. Ndugu yangu Dkt Mwigulu Nchemba ni msomi lakini siye anayetumia usomi wake katika kuchanganua mambo ya kiuchumi na biashara anazidiwa na Zitto Kabwe au Silinde. Hakika hii wizara haihitaji mwanasiasa typical, inahitaji mtu aliyetulia, asiyekua mjanja mjanja, asiye na Visasi,asiye na roho ya kuwazika kila wakati. Mwigulu na Hamad Msauni wote wanauwaza urais 2025, Concentration ya uwaziri itatoka wapi?

Mama kama hajamtimua au kubadilishia Mwigulu wizara ndani ya miezi 6 au mwaka mmoja basi tutarudi kuja kuambizana humu ndani ya mwaka mmoja. Ndugu yetu kutawala hisia zake ni mgumu sana halafu reactions zake nyingi hata mitandaoni zinajulikana.

Mwigulu hamfikii Dkt Philipo Mpango hata 1%. Hii wizara kiukweli haijapata mtu sahihi. Mama majibu utayapata kupitia Makamu wako na muda utaongea.

Anyway, Sina chuki binafsi na ndugu yangu Mwigulu Nchemba lakini kila ninapoyatazama maslahi mapana ya taifa langu naona ni bora kuusema ukweli. Mambo mengine ni hulka hata kubadilika ni ngumu ilitakiwa apewe wizara ya Vijana na mambo ya bunge.
Kiongozi yoyote akimweka Mwigulu kwenye jambo lolote basi huyo anakuwa amefeli moja kwa moja
 
Sasa kuna hoja gani ya msingi hapo ya kujadiliwa, zaidi ya ramli za kijinga?

Huyo anaetaka Mwigulu atumbuliwe ukute hata cheti cha form four hana,furaha yake ni kuona watu wengine wanalia maisha magumu kama yeye.
Cheti chako cha F4 kimeisaidia nini nchi? sisi hatutaki vyeti tunataka watu wa kutenda
 
Nyinyi ni nyumbu,hivyo silaumu juu ya swala la kujisahaulisha mambo.Sio nyinyi mlioshupaza shingu juu ya Elimu ya makonda? Sio nyinyi mnaoropoka na kuhoji juu ya Elimu ya baadhi ya wabunge wa CCM? Na hata tulipokuja na hoja ya kuzingatia utendaji badala ya kiwango cha elimu, bado mliendela kubweka. Leo unakuja hoja gani tena?

Leo hii mtu kamiliki tu smartphone na vicenti kidogo vya bando, mnakuja humu kulaumu uteuzi wa mwigulu. Oooh sijui mama kakosea... Oooh sijui mwigulu hafai.... Oooh sijui nini, wakati nyinyi hata kuyaongiza maisha yenu tu umekuwa taabu.

Ikitokea mwigulu katumbuliwa,wewe hapo unaweza kuongoza sekta na isiwe na mapungufu hata kidogo? Acheni ujuaji.
 
Mwigulu safi ila apunguze WAPAMBE, SIFA BINAFSI, MITANDAO na TAMAA YA URAIS ...afuate ushauri ,afanye kazi kama rekodi yake itamsimamia huko mbele ..
Pia wale vijana wake wanaochukua commission kwa watu wakisema wanampekelea [ haukupatikana ushahidi sana ] waache wanamuharibia .......pia apunguze siasa ...wizara ya fedha kapita hadi JAKAYA ...alifanya kazi sana tu ... ile ni wizara mama ukiacha siasa ukafanya kazi ..analotaka litakuja lenyewe hata bila kuandika mawe
 
Pole sana mwigulu. Lakini sorry kwa ramli. Inaonekana mama atakuacha mapema sana
 
Mimi sio mgeni humu,chata za kambi ya upinzani nazijua vizuri kuliko hata unavyofikiria mkuu.
Si rahisi kujua nani yuko upande upi au nani kabadilisha gia angani.

Kama hata viongozi waandamizi waliokuwa wafia vyama wanabadili itikadi,na kujiunga na vyama kinzani.

Unawajuaje Jf members wanaotembea kwa majina fake.
 
Hili lofa limedhihirisha kuwa halifai kazi hii liondoshwe tu. Utabiri umetimia.
 
Back
Top Bottom