Dkt. Mwigulu Nchemba, acha kuwadharau Watanzania kwa kauli hizi

Dkt. Mwigulu Nchemba, acha kuwadharau Watanzania kwa kauli hizi

Yawezekana hiyo ' Doctorate ' yake aliipata ama kwa ' Kuroga ' sana au hata Kutishia ' Kuua ' hao waliokuwa wakitakiwa Kumpa kwani huhitaji ' Akili ' kubwa sana kujua ya kwamba Mwigulu Nchemba ni ' Empty Set Minister ' ambaye Wizara ya Fedha imepata bahati mbaya Kumpata tokea Uhuru wa Tanzania yetu hii.
 
'Jiwe'e' alisema asiyeweza kulipa nauli ya kivuko apige mbizi!
 
Bajeti ya hovyo sana hii kuwahi kuishuhudia. Halafu anatuongezea mzigo wa kodi, kwa visingizio vya kipuuzi tu! Eti vya kuboresha huduma za afya na kujenga barabara za vijijini!

Unajiuliza miaka yote walikuwa wapi? Badala ya kupunguza vitendo vya rushwa na ufisadi, wameona waendelee kuwaumiza watanzania! Naamini vyama vya upinzani vikijipanga vyema, lolote linaweza kutokea 2025!

Serikali ya CCM haina faida kwa watanzania walio wengi! Isipokuwa tu kikundi chao cha watu wachache.
 
That is why I say a good finance minister should be an urbanite.
Sio mtu alikua anachunga ng'ombe wa kienyeji leo ndio anatoa mwelekeo wa mapato na matumizi ya nchi.
Huyu anaweza kukaa meza moja na Mtei au Msuya wakanywa chai ?
We umekariri vibaya Sana who is Mtei ?? Who is Msuya?? ni miungu kwani hawa? We mkosoe Mwigulu lakini kutaka tuamini kwamba kabila fulani ndiyo wao miungu this is nonsense
 
Kiasili dogo ana dharau na roho mbaya sana halafu ni mshirikina wa kutupwa.. Mganga wake wa safari hii kiboko ila baada ya mwaka tutarudi hapa kukumbushana hii post...next bajeti mkoba utabebwa na mwingine
Kwahiyo utabebwa na akina Mtei na akina Msuya sivyo? Au Mchunga ng'ombe mwingine?
 
Hakuna Cha maana hapo, wangefanya vzr leo si tungekuwa uchumi wa juu ......hata huu wa kati umepatikana wkt wa Mpango
 
Kwani msuya na mtei ni watoto wa mjini?
Besides being a city dweller.
Urbanites are both a subculture and a contemporary lifestyle. They have 6 key characteristics: Time-poor, city-proud, media-literate, brand-centric, trend-sensitive and culturally-aware.
 
Bajeti ya hovyo sana hii kuwahi kuishuhudia. Halafu anatuongezea mzigo wa kodi, kwa visingizio vya kipuuzi tu! Eti vya kuboresha huduma za afya na kujenga barabara za vijijini!

Unajiuliza miaka yote walikuwa wapi? Badala ya kupunguza vitendo vya rushwa na ufisadi, wameona waendelee kuwaumiza watanzania! Naamini vyama vya upinzani vikijipanga vyema, lolote linaweza kutokea 2025!

Serikali ya CCM haina faida kwa watanzania walio wengi! Isipokuwa tu kikundi chao cha watu wachache.
2025 mbali sana mkuu, uchaguzi nikupoteza muda bila tume,ccm itaondelea kwanguvu kunadalili sio muda mrefu tuombe uzima
 
Back
Top Bottom