Dkt. Mwigulu Nchemba, acha kuwadharau Watanzania kwa kauli hizi

Dkt. Mwigulu Nchemba, acha kuwadharau Watanzania kwa kauli hizi

Y
That is why I say a good finance minister should be an urbanite.
Sio mtu alikua anachunga ng'ombe wa kienyeji leo ndio anatoa mwelekeo wa mapato na matumizi ya nchi.
Huyu anaweza kukaa meza moja na Mtei au Msuya wakanywa chai ?
Yaan ,mnaandika utumbo tupu.Kwani kuchunga ng'ombe ,ndio hauwezi kuongoza wizara?Halafu akili zenu zimedumaa sana.MTU yeyote anaweza kuwa boss wako muda wowote.Mtei babu ,aliyefukuzwa kazi na Nyerere?
 
Lumpenproletariat.
 
..katika mawaziri wa fedha wa Tz Mtei na Msuya wana rekodi ya kipekee.

..Mtei alikuwa waziri wa fedha wakati wa vita vya kagera.

..Jiulize ni mawaziri wa fedha wangapi wametumikia nchi zao wakati wa vita.

..Msuya alikuwa waziri wa fedha uchumi na mipango mwaka 1985.

..Yeye ndiye aliyeongoza dhamana ya kufufua uchumi mara baada ya Rais Mwinyi kuingia madarakani.

..Kuna wakati Rais Kikwete alisema Msuya ndiye Baba wa mageuzi ya uchumi Tanzania.

NB:

..Edwin Mtei ndiye Baba wa sarafu ya Tz. Yeye ndiye gavana muanzilishi wa Benki Kuu ya Tz.
Waelimishwe hawa Millennial wasiojua hata Tz ilishapigana vita na Uganda. Wasiojua miezi 18 ya Shida. Kizazi cha kutukana Wazee na kuwadharau wakizani watabaki kuwa Vijana. Wasiowajua Mtei na Msuya na Mchango wao katika Uchumi wa Nchi hii.
Kizazi cha Bongoflava.
 
Hiki pia ni kielelezo cha Udhaifu wa top na kiashiria cha uvivu ili wakusanye kodi kwa njia rahisi na za kimazoea kwa watu wa chini,wanawapa likizo ya kodi wakubwa, wameona october anguko linakuja bila ubakaji huu wa kodi. Do or Die season3
 
katika mawaziri wa fedha wa Tz Mtei na Msuya wana rekodi ya kipekee.
Mnawakweza walitusaidia nini kama Taifa,huyo mtei sio watanzania Walikua wanapata Vitu Kwa foleni ,sukari kununua kilo mbili ni anasa ,Msuya sio serikali ilianguka kabisaa ikawa inshindwa hata kulipa mishahara watumishi wa UMMA ,ilifika sehemu hawawezi ata kujenga majengo ..

Kama wangekua wamefanya kazi Yao ipasavyo , wakati tunaingia vyamaa vingi basi Uchumi ungekua umetengamaa..

Hawakua na Jambo spesho ,wakati Tu uliwabeba
 
Kuna maneno yanatrend mtandaoni kua Mwigulu anasema kwamba hahitaji kupendwa na wengi wapigakura wake wanatosha kumpenda. Hii ni baada ya bajeti yake kuzua taharuki kubwa kuhusu kuongeza tozo kwenye miamala ya line simu.Anadai kua yeye amependekeza bajeti ili mambo yaende hajali watu wanaumia kiasi gani.

Kama kweli haya maneno ni yake, hiki ni kiburi cha hali ya juu sana hahitaji kua waziri wa fedha. Hatuwezi kua na mtu kwenye wizara nyeti kama ya fedha na kujiona kama Mungu mtu. Hizi dharau si nzuri kwa watanzania, hajawahi kuyaishi maisha magumu ndio maana anatoa kauli hizi ambazo kimsingi hazina tofauti na zile za Albert Chalamila.

"Napendekeza kuongeza ushuru wa miamala na vocha, katika hili nawaonea HURUMA sana watanzania kwa kubebeshwa mzigo, naweza kuwa unpopular minister of finance ila ni lazima mambo yaende. Nikipendwa na wapiga kura wangu na mashabiki wa Yanga inatosha" ~ Mwigulu Nchemba"

View attachment 1815863

======

View attachment 1816067
Kwenye mambo ya msingi kama BAJETI YA NCHI waziri anatakiwa awe makini katika hotuba yake. Haya ni masuala ya Nchi, mambo ya wapenzi wa yanga na simba au ndanda na lipuli hayana maana. Waziri upo pale kwa ajili ya Taifa lote. Waziri wa nchi huwezi sema wapiga kura wangu wanatosha! Wanakutosha kwenye nini? Kwani unawasilisha Bajeti ya jimbo lako au bajeti ya yanga? Waziri be serous, jikite kwenye BAJETI YA NCHI KWA MAENDELEO YA WANANCHI WOTE.
 
That is why I say a good finance minister should be an urbanite.
Sio mtu alikua anachunga ng'ombe wa kienyeji leo ndio anatoa mwelekeo wa mapato na matumizi ya nchi.
Huyu anaweza kukaa meza moja na Mtei au Msuya wakanywa chai ?
Mkuu usiwafananishe hao wazee wenye hekima na maarifa na huyu. Nenda kasome bajeti zao, hakuna utoto utoto.
 
We umekariri vibaya Sana who is Mtei ?? Who is Msuya?? ni miungu kwani hawa? We mkosoe Mwigulu lakini kutaka tuamini kwamba kabila fulani ndiyo wao miungu this is nonsense
We umekariri vibaya Sana who is Mtei ?? Who is Msuya?? ni miungu kwani hawa? We mkosoe Mwigulu lakini kutaka tuamini kwamba kabila fulani ndiyo wao miungu this is nonsense
Mkuu suala ukabila linatoka wapi hapo? Ni wajibu wetu kama wananchi na walipa kodi kuijadili Bajeti ya Taifa kwa maendeleo yetu. Serikali haina fedha, ni sisi wananchi ndio tuiwezesha kuwa na fedha na hivyo kufanya mambo ya maendeleo na hata inapokopa ni sisi tunao lipa mkopo huo. Hivyo ni haki yetu ya Kikatiba ya KUISIKILIZA, KUICHAMBUA na hatimaye kutoa maoni via Wabunge. Ila kwa sababu bunge letu tunalifahamu ndio maana sisi tunahoji/kutoa maoni kupitia mitandaoni.
 
Maendeleo ya Tanzania na Mtanzania yanaletwa na Mtanzania yeye mwenyewe usitegemee mzungu akuletee maendeleo zaidi ya kuendeleza nchi yake,jambo la msingi kodi ya Mtanzania iendeleza Tanzania miradi yote ya kurahisisha maisha yetu ikamilishwe na mama yetu awe mkali kwa wenye tamaa na fedha ya mlipa kodi kwa kufanya ufisadi hakika 2025 Tanzania ya awamu ya sita itakuwa kwenye uchumi wa juu zaidi,jamuhuri ya muungano wa Tanzania:kazi iendelee.
 
Mnawakweza walitusaidia nini kama Taifa,huyo mtei sio watanzania Walikua wanapata Vitu Kwa foleni ,sukari kununua kilo mbili ni anasa ,Msuya sio serikali ilianguka kabisaa ikawa inshindwa hata kulipa mishahara watumishi wa UMMA ,ilifika sehemu hawawezi ata kujenga majengo ..

Kama wangekua wamefanya kazi Yao ipasavyo , wakati tunaingia vyamaa vingi basi Uchumi ungekua umetengamaa..

Hawakua na Jambo spesho ,wakati Tu uliwabeba

..tafuta kitabu alichoandika Edwin Mtei.

..kinatoa picha ya nini kilikuwa kinaendelea kiuchumi na kiutawala wakati alipokuwa serikalini.

NB:

..TRA ilianzishwa kutokana na mapendekezo ya Tume ya uchunguzi iliyoongozwa na Edwin Mtei.
 
Back
Top Bottom