Hakuna Cha maana hapo, wangefanya vzr leo si tungekuwa uchumi wa juu ......hata huu wa kati umepatikana wkt wa Mpango
..mwaka 1985 tulikuwa na hali mbaya sana ya uchumi.
..Tusingekuwa makini ktk kufanya mageuzi kipindi kile leo tungekuwa ktk mazingira magumu kuliko tuliyonayo sasa hivi.
..huwezi kusema waziri aliyesimamia mageuzi hayo ni kiongozi asiyekuwa na maana.
..pia huwezi kudharau mchango wa Mtanzania aliyeongoza mchakato wa kuanzisha Benki Kuu na sarafu ya nchi yetu.