Dkt Mwigulu Nchemba Ammiminia sifa na pongezi Rais Samia kwa kuendelea Kuaminiwa na Viongozi Mbalimbali Duniani

Unategemea Mwigulu Nchemba atasema nini zaidi ya kujipendekeza?
 
Utaoa kweli..?🤔
Ephen wangu wewe endelea kutulia tu maana Ndoa yetu mimi na wewe imeshakaribia sana.kwenye send off yako watu watakula Pilau na wali mpaka mtaa mzima ubaki unabubujikwa na machozi ya furaha huku kila mmoja akiwa amebeba wali mwingine kwenye vifungashio ili wakale usiku kucha mpaka kuna kucha majumbani kwao.
 
Wewe kila kitu unaona wivu tu na kumuonea wivu kila mtu anayefanya vizuri katika majukumu yake.Jitahidi uende hospitalini uonane na madaktari upate matibabu ya haraka maana una matatizo makubwa sana kichwani mwako
 
Mwigulu Hana lolote huyo ni chawa mkubwa TU Ili ale tozo zetu! Alaaniwe!!!
 
Mwigulu lazima asifie ndiyo salama ake kwa wizi anaofanya pale Wizara ya Fedha bila hivyo atakamatwa uhujumu uchumi, hiki nacho ni cheo cha kusifia au ni mzunguko tu.
 
Si nilishakuonya kuacha uropokaji wako? Kwanini unapenda kuropoka vitu usivyo na ushahidi navyo?
 
Back
Top Bottom