Dkt Mwigulu Nchemba Ammiminia sifa na pongezi Rais Samia kwa kuendelea Kuaminiwa na Viongozi Mbalimbali Duniani

Mama bana! Hapo kabla hajapigwa picha alikuwa anasema

"Nipige kama nasoma hivi, alafu sina habari" 😂
 
Chawa tu kama wewe
 
Hilo lilipangwa kwenye ratiba ya mzunguko wa hicho cheo kulingana na katiba yao. Cheo hicho kitashikwa na marais wa nchi zote kila mmoja kwa wakati wake.
 
Kama pongezi zinatoka kwa waafrika wenzake ni sawa lakini kama hata wazungu wanampongeza hiyo ina walakini mkubwa. Ukiona mzungu anakusifu na kukupongeza kiongozi wa Afrika jitizame tena na ujiulize wanataka nini kwangu? Mahusiano ya waafrika na wazungu yamejaa mbigili njia nzima'; mitego mingi na unyonjaji mwingi. Wazungu kwetu hawana "win-win", siku zote ni "win-lose" kwenye kila aina ya mahusiano.

Wazungu ni watu ambao wana uchungu mkubwa na hela za walipakodi wao, kama ukiona wanakupa wewe hela ya walipakodi wao shituka kisha ukimbie uondoke eneo hilo haraka sana.
 
Chawa mnajuana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…