Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
form ngap?wanafundisha elimu ya kodi😂😂😂😂Acha kudharau na kuharibu ugali wa wenzio. Kwa taarifa yako, Misa alifaulu darasa la saba na kusoma sekondari ya serikali. Ana akili kuliko wewe, hawezi shindwa kuamwaelimisha wananchi juu ya umuhimu wa kulipa kodi kwa maendeleo ya taifa lao.
Yaani elimu ya ulipaji kodi inahitaji fan base what are you smoking dude ???Nyie mnaopinga hapo juu mnajielewa? Wewe uliyesoma upo mbwinde huko na mbwana samatta au edo kumwembe nani ana fan base kubwa na anaweza kusikilizwa akihamasisha kodi?
Nyoosha maelezo tafadhali. Usiogope!hahahahahaha aisee Mehemu Meko angekuwepo angesema " Mwigulu Nchemba ni mchapa kazi kweri-kweri"
Hamisa Mobeto anajua nini kwenye issue za kodi jamani, mambo mengine wawe wanamsaidia Mh. Rais in positive way siyo kwa sbb yy ameteu baadhi ya Ma DC Magalasa basi na wao wanakwenda ivo ivo.Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.
=========
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo
Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.
View attachment 1826377
Hayati alipomchagua jokate kuna binadam walitoka mapovu sana, lakini sahvi wanasifu juhudi za jokate, acha tuone na huyu muda utaongea.
Ubunifu Kama ubunifu Yani,Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.
=========
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo
Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.
View attachment 1826377
Samahani,Jokate kafanya nini cha maana kisarawe ?😂😂😂😂Hayati alipomchagua jokate kuna binadam walitoka mapovu sana, lakini sahvi wanasifu juhudi za jokate, acha tuone na huyu muda utaongea.
nimesoma huo upumbavu wa mshkaji nikaishia kukaa kimya, yaan mtu alipe kodi kisa sura ya hamisa😂😂Foolish! Ukitaka ku-promote kondom hapo sawa! Kodi? Nchi gani duniani unaijua yenye watu wajinga kama wewe na mwigulu kuwa na maono kama hayo?
Tujiulize Kwanza walioteuliwa wao wanayoelimu ya Kodi? Au ndo Yale Yale ya kutangaza utalii, anyway tusubiri ripoti ya CAG mwakani nitarudi kucoment InshallawWaziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.
=========
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo
Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.
View attachment 1826377
Ahahahhahahahahahahahahahahahahhahahahahahaha aisee ngoja niende kuchimba muhogo mbichi nibebene na gahawaWaziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.
=========
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo
Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.
View attachment 1826377
Wote wamechukuliwa maboga kabisaWaziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.
=========
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo
Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.
View attachment 1826377
Tax issue uelezwe na Edo kumwembe T.R.A haina wataalam?Nyie mnaopinga hapo juu mnajielewa? Wewe uliyesoma upo mbwinde huko na mbwana samatta au edo kumwembe nani ana fan base kubwa na anaweza kusikilizwa akihamasisha kodi?
Amisa atakuwa tayari kabunjuliwa hapo!Duh duh nchi ya maabunuasi haina mipango
Mbona hujakaa kimyaIla Tanzania tunachekesha sana sana! Basi wacha nikae kimya.