Dkt. Mwigulu Nchemba ateua wadau watakaotoa elimu ya mlipa kodi; wamo Hamisa Mobetto, Edo Kumwembe na Mbwana Samatta

Dah kwamba atawapeleka chuo cha kodi wakasome ?
Au anadhani kuhamasisha tu kunatosha watu walipwe kodi?
 
Mwendazake alipambana kubana matumizi,Sasa hivyi ni kuongeza matumizi,loh naanza kuamini Nchemba hi wizara ni kubwa kwake.

Kwa nini kuwe na uhamasishaji wa kodi sasa hivi, hadi kuteua wahamasishaji wa kulipwa! Why now? Kwani watu wameacha kulipa kodi? Mbona mambo yanakuwa hovyo sana kiasi hiki! Kuna mahala tunakwama, tutajua tu baadae.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.

=========

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo

Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.

View attachment 1826377
Hamisa Mobeto anajua nini kwenye issue za kodi jamani, mambo mengine wawe wanamsaidia Mh. Rais in positive way siyo kwa sbb yy ameteu baadhi ya Ma DC Magalasa basi na wao wanakwenda ivo ivo.

Hiyo ndo namna ya kumsaidia Mh. Rais.
 
Hayati alipomchagua jokate kuna binadam walitoka mapovu sana, lakini sahvi wanasifu juhudi za jokate, acha tuone na huyu muda utaongea.

Profile ya Jokate na kazi aliyopewa havikuwa na shida pia ujue Jokate Shule ipo, umaarufu upo, siasa ipo Tena nafasi kubwa tuu ndan ya chama sio Kama Hawa jamaa na Kaz waliopewa hili la Kodi n ndio UTI wa mgongo wa taifa hili
 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.

=========

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo

Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.

View attachment 1826377
Ubunifu Kama ubunifu Yani,
 
Niliwahi sema hivi na muda unazidi kuthibitisha:

The smart and intelligent people in this country, have only forums to express their views and ideas, whereas the less intelligent and non patriotic ones, have forum to express their views and ideas, as well as power and mandate to implement those ideas even if those ideas are sometimes useless and meaningless.
 
Foolish! Ukitaka ku-promote kondom hapo sawa! Kodi? Nchi gani duniani unaijua yenye watu wajinga kama wewe na mwigulu kuwa na maono kama hayo?
nimesoma huo upumbavu wa mshkaji nikaishia kukaa kimya, yaan mtu alipe kodi kisa sura ya hamisa😂😂
 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.

=========

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo

Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.

View attachment 1826377
Tujiulize Kwanza walioteuliwa wao wanayoelimu ya Kodi? Au ndo Yale Yale ya kutangaza utalii, anyway tusubiri ripoti ya CAG mwakani nitarudi kucoment Inshallaw
 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.

=========

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo

Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.

View attachment 1826377
Ahahahhahahahahahahahahahahahahhahahahahahaha aisee ngoja niende kuchimba muhogo mbichi nibebene na gahawa
 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amewateua Mbwana Samatta, Hamisa Mobeto na Edo Kumwembe kuwa mabalozi wa kuhamasisha ulipaji kodi. Mbali na hao amewateua wanasiasa wengine kuwa mabalozi wa elimu ya kodi, ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi bila kushurutishwa.

=========

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaotoa elimu ya mlipa kodi kwa Watanzania wakiwemo

Mbwana Samata, Edo Kumwembe na Hamisa Mobeto.

View attachment 1826377
Wote wamechukuliwa maboga kabisa

Eddo tapeli tu six jitegemee alitaga

Mobeto V.I.P prostitute.

Samatta hana uelewa wowote kuhusu Tax achilia mbali law of demand
 
Hivi TRA wanavyopeleka matangazo redioni na hizo mentions zao kusomwa na watangazaji hao watangazaji wanakuwa ni IFM's graduates wanaokuwa na elimu ya Kodi?

Hawa wanaweza kutumia platform zao kupost short briefs za maofisa wa kitengo cha elimu kwa mlipa kodi kinachoongozwa na Kayombo pale TRA na pia watapewa semina na nini cha kusema.
 
Back
Top Bottom