Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Kila nikikumbuka mwaka 2015 alivyochora mawe na madaraja kwamba yeye ndie Rais ajaye naanza kuamini jamaa anapenda siku moja awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Juzi kaenda kusoma bajeti ya mwaka mpya wa fedha bungeni, msafara wake sio mdogo yaani hadi mapikipiki ubavuni mwa gari lakr kama mkuu wa nchi.
Ama kweli tumepata Waziri wa Fedha wa aina yake.